Recent content by JITU BANDIA

  1. JITU BANDIA

    Ni wakati sasa serikali ifikirie kuibinafsisha hii Tanesco !, ili wafanyakazi wawe na adabu na heshima kwa wateja!

    Mita mmeisajili baada ya siku 5 za kuwapigia kelele kila siku!, Siku hili shirika likibinafshishwa ndio mtajua kuwa mteja ni mfalme! Mtakuwa na adabu kwa wateja!
  2. JITU BANDIA

    Ni wakati sasa serikali ifikirie kuibinafsisha hii Tanesco !, ili wafanyakazi wawe na adabu na heshima kwa wateja!

    Ndugu Mteja, Taarifa Na. MAR112026NCR-0380 imeshafanyiwa kazi, Tafadhali "bofya kutupima tulivyokuhudumia. https://tupime.tanesco.co.tz?a=MAR112026NCR-0380" KIUKWELI NIMECHOSHWA NA HIZI MSG ZENU, MNANIAMBIA TATIZO LANGU LIMETATULIWA! NA MPAKA SASA SINA UMEME! NA SIWEZI KUNUNUA UMEME! ZAIDI...
  3. JITU BANDIA

    Ni wakati sasa serikali ifikirie kuibinafsisha hii Tanesco !, ili wafanyakazi wawe na adabu na heshima kwa wateja!

    Wanaume wanapoleta hoja, wewe jinsia kinzani usidandie dandie tu(pasipo kuelewa hoja hapa ilikuwa ipi) unadandia hovyo hovyo tu kama kicheche mwenye hamu na pipe!
  4. JITU BANDIA

    Ni wakati sasa serikali ifikirie kuibinafsisha hii Tanesco !, ili wafanyakazi wawe na adabu na heshima kwa wateja!

    Waapi! Tatizo ni kuwa, watatue , wasitatue shida yako, mshahara wao unaingia tu! Hawana shida na wewe maana hawana mshindani, SIKU TUKIPATA RAISI MWEHU MWEHU!, AKABADILI UTARATIBU TANESCO WATATUHESHIMU!
  5. JITU BANDIA

    Ni wakati sasa serikali ifikirie kuibinafsisha hii Tanesco !, ili wafanyakazi wawe na adabu na heshima kwa wateja!

    Hii dharau inayofanywa na watoa huduma wa tanesco, ni jeuri na kiburi! kwakuwa ndilo shirika pekee lililopewa dhamana hii ya kusambaza umeme nchini... Likiwa chini ya sekta binafsi kama baadhi ya kampuni za simu...wafanyakazi wake pengine watakuwa na adabu na heshima kwa wateja... Haiingii...
  6. JITU BANDIA

    EU yapiga Marufuku Mashirika ya Ndege kutoka nchi 12 Afrika kutua Ulaya, ikiwemo Tanzania

    Hivi kumbe Tanzania tuna mashirika mengi ya ndege hivi??! Mashirika 34 ya ndege toka Tanzania yaliyopigwa ban ni yapi hayo? Atcl, precision, Auric air.... ndio niyajuayo mimi...ama kuna mengine hewa?
  7. JITU BANDIA

    Phone4Sale Agiza iPhone, Samsung, Google Pixel na Electronics Nyingine Genuine kutoka Dubai

    Bei ya simu inaonekana Very cheap! Ikiwa hapo Dubai...let say 200,000.... NGOJA SIMU HIYO HIYO IFIKE JKNA INT'L AIRPORT! IFIKE KWA ZAKAYO(MTOZA USHURU) Lamammmake! NDIO UTAJUA HUJUI! KODI 800,000! Simu uliuziwa laki mbili! Nunua simu hapa hapa dukani kkoo, kuliko kuwanunulia simu watoto wa...
  8. JITU BANDIA

    Nimeoa mwanamke ana mtoto - leo naomba niwaambie ukweli mchungu wanaume wengi hatusemi

    Kuna mstari umeuruka, katika haya maandishi yako! Ni ngumu kuuweka wazi, maana unaonekana umeshapenda na PENGINE NI SIRI YA NDANI!
  9. JITU BANDIA

    Stephen Wasira: Lema ni msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni

    Ukishaona mwanasiasa yeyote wa upinzani anasifiwa na kupongezwa na WANA-CCM....KAA KIMASTER NA HUYO MWANASIASA! JUA HUYO KUSHNEI... NI DALALI! WATANGANYIKA sio wajinga!
  10. JITU BANDIA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi betway ni kote inasumbua? Web version...ama hadi huko sebleni kwenu?
Back
Top Bottom