Mkuu sikushauri ukate tamaa,mfano kama me sijuani na yeyote na nilipata kazi katika nafasi za mwaka uliopita,na nilishafanya interview za mamlaka almost six times lakini nilikuwa najifunza na kuelewa wapi nilikuwa nakosea na nilikuwa natilia mkazo maeneo niliyokosea na kuwa bora zaidi,ni muhimu...
Exactly kuna watu tangu tunajitambua mpaka uzeeni mwetu tunaamini ni miracles za Mungu tuu, ni mpumbavu mmoja tuuh asiyejua what really happens in this world ndiye anaweza ku-crash ulichoandika
Wengi walikuwepo sasa hivi wako wapi, wako wapi,... Balozi bado nipo ninatamba kwenye chati, kwenye chati,... Nashika ile ile ile moja nambaaa natambaa,........ Song by Balozi dullasol-wengi walikuwepo
Jamani nashukuru Mungu pamoja na hofu ya kuogofya niliyokuwa nayo, nimepata email ya kuitwa kazini, sifa za pekee ziende kwa Mungu wetu, jina lake lihimidiwe,.... Am really happy for this
Kwa admission sina uzoefu nako, ila kwa accounts pitia fundamentals za accounts like account equations, principles and concepts za accounts, characteristics of accounting/financial statements, components of financial statements, cash flows and its contents, types of correction of errors, bank...
Kuna uzi humu ilikuwa unaelezea fursa za biashara zilizoko kwenye visiwa vya comoro na Mauritius na ulikuwa uzi poa sana nakumbuka na wadau wakawa wameanza organize kusafiri kwenda kwa pamoja ku confirm hizo fursa, ilikuwa inasifika kuwa matunda na mbogamboga za majani ukipeleka kwa hivyo visiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.