Recent content by jiga2009

  1. J

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    sikiliza wimbo wa mwana FA,subiri subiri kwanza utapata mwingine,tatizo la vijana unajikommit wakati hata hujaoa,kuwa nao hata kumi alafu kila mtu unampima kivyake.kisha utapata mke halisi
  2. J

    serikali

    kwa nini serikali yetu ya tz sio efficient na effective katika shughuli zake.Tatizo ni nini,mfano mipango mingi ya mendeleo huchelewa kutimizwa.
  3. J

    The Commedy production ndani ya Bunge

    je ni sahihi ze comedy kuingia bungeni,ina implication gani
  4. J

    Masoud Kipanya na Fina Mango wa Clouds FM

    acha umbea ongelea mambo ya msingi ya kukuza uchumi wa taifa
  5. J

    Mbwete Na Vioja Vyake Open University Of Tanzania

    mie naona huyo mbwete hajakosea kitu chochote Mie nimekuwa nikifundisha hapo open kwa kipindi fulani,kusema kweli elimu imekosa wasomaji,yaani ni vituko vitupu.Kwanza hamna maandalizi ya kutosha kwa wanafunzi,watu wanazima moto,matokeo yake ndo hao wanaotusainia mikataba feki mpaka taifa...
  6. J

    Review Classes

    NAPENDA KUWATANGAZIA KWAMBA CPA REVIEW CLASSES KWA WALE WANAFUNZI WANAOTEGEMEA KUFANYA MTIHANI MWEZI NOVEMBER MWAKA 2008 KWAMBA MADARASA YATAANZA HIVI KARIBUNI PALE SHULE YA MSINGI ILALA BOMA KUANZIA TAREHE 10.07.08. MASOMO YATOLEWAYO FINANCIAL REPORTING 1 (for Module C) shs...
  7. J

    Cpa Review Classes

    NAPENDA KUWATANGAZIA KWAMBA CPA REVIEW CLASSES KWA WALE WANAFUNZI WANAOTEGEMEA KUFANYA MTIHANI MWEZI NOVEMBER MWAKA 2008 KWAMBA MADARASA YATAANZA HIVI KARIBUNI PALE SHULE YA MSINGI ILALA BOMA KUANZIA TAREHE 10.07.08. MASOMO YATOLEWAYO FINANCIAL REPORTING 1 (for Module C) shs...
  8. J

    Msaada wa kitaalamu

    Hivi inakuaje unaishi na mke wako lakini mnashindwa kuelewana endapo kunatokea matatizo ya kifamilia badala yake mnaanza kutumina msg kwenye simu badala ya kukaa chini na kusolve face to face
Back
Top Bottom