Recent content by jhohoho

  1. J

    PreGE2025 Rais Samia awekwe kwenye Noti/Sarafu

    Tanzania bado tuna wananchi wengi waoingia chooni wakiwa wamevaa kanda mbili wakiamin viatu huvaliwa ofisini na makanisani tu Mungu tusaidie
  2. J

    Trump kutegemea nguvu ya dola ni sawa na Tanzania, ila dola ya Marekani ni tofauti na Tanzania

    Huku kwetu moshi wa mwenge tunaovuta wakati wa mbio za mwenge ndio tatizo kubwa
  3. J

    Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD

    Hawa waarabu ilitakiwa waje huku vijijini walime kwa tija tuone matunda ya kilimo Sio kukimbilia bandarini
  4. J

    Sakata la Bandari: Spika Tulia atoa ufafanuzi

    Hapo uliposema bunge litajadiri na kupitisha umechemsha… Ulitakiwa kusema Bunge litajadili na kupitisha au kutopisha azimio hilo
  5. J

    IMF yaidhinishia Tanzania mkopo wa Trilioni 2.4

    Acha tukope tu wakati wa kulipa wengi tutakua tushakuwa marehemu Hivyo watalipa watoto na wajukuu wetu
  6. J

    CWT wapiga mkwara walimu wanaojitoa uanachama

    Kana dudu lingine linaitwa TALGWU
  7. J

    Mbunge Mpina amvaa tena Waziri Bashe

    Kwan mavi ya ng’ombe nayo si huwa mbolea au siku hizi hayatumiki?????
  8. J

    Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

    Ni kwa sababu wao pia wanajidharaulisha mtaani. Sasa unakuta mwalimu anadaiwa vitumbua vya elfu moja na mama ntilie miezi miwili bila kulipa
  9. J

    Mtanzania, Unategemea nini kwenye Bajeti kuu ya Serikali 22/23?

    Mi nasubiri huko ngorongoro bajeti itasemaje
  10. J

    Rais Samia Suluhu anafanya vizuri bei ya mafuta ukanda wa maziwa makuu

    Kwan kalalamika bei ya mafuta???? Kama inchi tupo vizuri MITANO TENA au mnasemaje wajumbe
  11. J

    Mwigulu: Cement bei juu kwa sababu ya vita ya Ukraine na Urusi

    Sasa hivi hata vitumbua vikipanda tutaambiwa vita vya URUSI
  12. J

    TRA Kuanza Kuzitoza Kodi, Facebook, Instagram na Whatsapp

    Huuu mchakamchaka tunaopelekwa tutajikuta tunafika mbinguni tukiwa hai.
  13. J

    Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

    Amejibu vizuri ....yeye ndio alikuwa anaujua ukweli kuwa magufuli alikuwaje kiutendaji. Yawezekana hata hilo jibu angeweza kulitoa hapa nchini, tatizo waandishi wa habari wa hapa nchini wakialikwa ikulu na kupewa nafasi ya kuuliza swali hawahoji maswali fikirishi. Kazi kubwa ya waandishi wetu...
Back
Top Bottom