Labda na wewe utaongeza kitu hapo chini.
1. Binafsi siwezi kuamini kitu ambacho sikielewi.
Watu wa Sayansi walikataa kuamini wakachagua kuelewa na ndio wameleta ustaarabu duniani. Hii ni tofauti na watu wa dini.
2. Dini ni Chombo cha kijamii(social agency) Chenye kazi ya kuhimiza Maadili, na...
Wale watu wa Philosophy,Psychology na Great Thinkers,Hizi ni baadhi ya movies ambazo ukiziangalia Lazima ufikirishe sana ubongo na kujiuliza hivi walifikiria nini kucheza hizi filamu.
1.The da vinci Code(kutoka kwenye riwaya ya Dan Brown)
Movie inazungumzia siri zilizo fichwa kwa kutumia...
1. Maisha ya kwenye Ndoto ukiwa umesinzia si halisi,ila utagundua si halisi pale utakapo zinduka kutoka usingizini.Ndoto ni Illusional..unadanganywa.
2. Video games kama zile za FIFA,GTA n.k wahusika wa kwenye zile games mfano unacheza PS5 kuna muda wachezaji wanalalamika,wanaumia,wanahuzunika...
Mgogoro kati ya Iran na Israel ni wa muda mrefu na umechochewa na sababu kadhaa za kisiasa, kijeshi, kiitikadi na kijiografia. Hapa kuna sababu kuu zinazochochea mgogoro huu:
1. Tofauti za Kiitikadi na Kifalsafa
Iran ni Jamhuri ya Kiislamu inayotawaliwa kwa msingi wa Uislamu wa Kishia (Shia...
Akili
Akili ni uwezo wa mtu wa kufikiri, kuchambua mambo, kuelewa, na kutatua matatizo kwa njia ya asili (yaani, bila kujifunza rasmi). Akili hutokana na kipaji cha kimaumbile; mtu huzaliwa nacho au hujifunza kwa uzoefu wa maisha.
Mfano: Mtu anaweza kuwa hajawahi kwenda shule lakini anaweza...
Habari mkuu,samahani Naomba namba yako ya simu nikupigie nikuulize baadhi ya maswali ambayo naona nikiuliza kwa maandishi nawesa nisieleweke..maswali Kama
1.baada ya annunaki kumtengeneza binadamu ilikuaje wakamuwekea kifo?
2.Umesema Eden ilikua maabara ya majaribio je mtu wa ujuzi wa mema na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.