Recent content by Jemat

  1. J

    Wakuu Ogopeni Sana wanaojiiya church girls Aiseeeh

    Wakuu nawaambieni tena Ogopeni Sana wanaojiita church girls Aiseeeh Aiseeeh Kuna kademu Kengine church kwetu kalinikazia kabisa eti lazima niokoke nikaoe ndio nikakule. Kumbe chini ya maji kalikuwa kanapigwa miti na wadosi at her place kwa employment yake. Na vile kalikuwanga soft meat like...
  2. J

    Godbless Charles: Freeman Mbowe na swali la utu: Je, tofauti za kisiasa zinapaswa kututenganisha hata katika nyakati za majonzi?

    Nilishawaambia, haya yote anayoyapitia TAL, Mbowe ndio Eng. Alifuatwa na mfumo akaulizwa, jamaa amekamatwa, tunafanyaje akajibu, chukueni hatua. Mimi ni mchaga na mbowe ni Mchaga, ila mselaa ni msaliti kuliko hata Lema
  3. J

    Kwani ukitaka kujiunga na TISS unafanyeje?

    Wako kwa Kabudi
  4. J

    Kwani ukitaka kujiunga na TISS unafanyeje?

    Hayo nowadays hayapo. Uwe na watu tu Ccm. Ile misingi ya Emilio Mzena imeachwa. Enzi ya Jk walifanya recruitment mpk kwa 🍺 maid
  5. J

    Chalamila: Unakosa elfu mbili ya taka unafaa kukaa dar es laam kweli?

    Hama dalisalama. Wenye zogo kama ww ni mzigo 😁😁
  6. J

    Khalid Aucho Amestaafu Soka La Kimataifa.

    Wakuu, Kiungo Khalid Aucho ametangaza rasmi kustaafu soka la kimataifa baada ya kuitumikia timu ya taifa ya Uganda (The Cranes) kwa kipindi cha miaka 13. Aucho ameheshimiwa rasmi baada ya mchezo wa leo dhidi ya Botswana, ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wake mkubwa katika soka la Uganda...
  7. J

    Kigoma: Baba levo awatimua Polisi kwenye michuano yake

    Kwa kweli polisi nawachukia sana
  8. J

    Chalamila: Sitaki kuona nyumba za Ibada kila mahali bila utaratibu maalumu

    Punguza ki-sugar kijana then jifunze kuandika vizuri
  9. J

    Chalamila: Sitaki kuona nyumba za Ibada kila mahali bila utaratibu maalumu

    Kulinganisha bar na kanisa ni sawa na kulinganisha kitambi na mimba 😊😊
  10. J

    Chalamila: Sitaki kuona nyumba za Ibada kila mahali bila utaratibu maalumu

    "Wakusanyikapo wawili au watatu kwa ajili ya jina langu,nami nipo kati yao” Ujue elimu ya kanisa kama ni jengo au watu ni muhimu sana. Kuna wengi wanaliabudu jengo la kuabudia wakijua ndio kanisa. Na kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!.
  11. J

    Chalamila: Sitaki kuona nyumba za Ibada kila mahali bila utaratibu maalumu

    Aheria ya mazingira kuhusu kudhibiti kelele. Kwa mujibu wa The Environmental Management (Standards for the Control of Noise and Vibrations Pollution) Regulations, 2015: Mchana (06:00–22:00): kiwango kisizidi 60 dBA kwa matumizi ya vipaza sauti katika eneo la makazi. Usiku (22:00–06:00)...
  12. J

    Chalamila: Sitaki kuona nyumba za Ibada kila mahali bila utaratibu maalumu

    Uhuru wako unapoishia ndipo uhuru wa mwenzako unaanzia
  13. J

    Nilihuzunika sana na mchungaji wangu

    Kumamae walllah 😜😜
  14. J

    Chalamila: Sitaki kuona nyumba za Ibada kila mahali bila utaratibu maalumu

    Mimi na Majirani wenzangu tunaokereka na sauti tumepanga tukanunue zile speaker 🔊 kuubwa. Halafu tunazilekeza zote kanisani, wakianza makelele na sisi tunafungulia muziki mpaka sauti ya mwisho uelekeo wa kanisa. Wakizima zao na sisi tunazima, wakiwasha na sisi tunawasha. Watakuja kuomba...
  15. J

    Chalamila: Sitaki kuona nyumba za Ibada kila mahali bila utaratibu maalumu

    Nadhani sheria za ufunguzi wa hizi nyumba za ibada kwa sasa inabidi ziangaliwe upya!! Huwezi kwenda kufungua nyumba ya ibada katikati ya makazi kwa kubadilisha matumizi ya nyumba!! Namaanisha mtu alijenga nyumba kwa ajili ya makazi anageuza linakuwa kanisa au msikiti. Au ana kinafasi...
Back
Top Bottom