Massawe wa kwanza mjinga duniani. Mnajiona na nyie kama MBS, kuwa unaweza ua mtu ndani ya Instanbul halafu mambo yakawa sawa tu! Una biashara gani unafanya na US mpaka uwe na jeuri hiyo!?
Hizi ni porojo kama zile za mji wa kisasa Kigamboni. Ni kutaka kutengeneza ufisadi mwingine mkubwa zaidi katika historia ya Tanzania ambapo makampuni ya madalali wenu uchwara yatapiga pesa nyingi sana kwa mgongo wa kodi za walalahoi.
Na hiyo inaletwa na ukweli kuwa huko mbele ya safari kuna hatari kubwa hata mchakato wa kumpata mrithi wa Samia huko chamani ukawa wa magumashi. Yaani Samia akateua chawa wake wa kuendelea kumlinda.
Ila mimi naamini kila mtu akishanusa harufu ya mambo kwenda vibaya lazima ajipange ili meli itakapokuja kizama yeye aokoke. kwenye genge la wahalifu hakuna kuaminiana na kutoana sadaka ni kawaida tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.