Ajiuzuru kwa lipi? Hakuna sehemu inayonyesha yeye kahusika na huo ufisadi . Muacheni mama apige kazi, tutam judge kuanzia sasa.
Hayo ya nyuma hayamhusu .
Nadhani Mwanakijiji utakua umesahau au hujafanya utafiti wa kutosha, report ya CAG KIchere haina tofauti na report za nyuma za CAG Prof Assad. Prof Assad; alikua analeta report nzito zenye maswali magumu yasiyojibika.
Kodi itakusanywa kwa wingi kuliko hata ya sasa endapo akili itatumika kuliko nguvu. Ongeza idadi kubwa ya walipa kodi,punguza utiriri wa urasimu katika mamlaka mbalimbali, wawekezaji wataongezeka na utakusanya kodi nyingi kwa kutumia akilia na sio bunduki
Nadhani wengi wenye maoni kama yako hamjamuelewa mama,yeye anataka mazingira mazuri ya ukusanyaji wa kodi bila kutumia nguvu nyingi, akili kidogo .
Zingatia points zifuatazo ;
1. Hataki mambo ya kubambikiziwa mikodi isiyolipika na kusababisha biashara kufungwa.
2.Hao wafanyabiashara wanaofunga...
Epvate International Consultancy on behalf of it's client Jema Africa seeks Humanurces and Administration Manager ,
If interested, send your CV to jemaafrica12,gmail.com
JEMA AFRICA LIMITED
MKUYUNI INDUSTRIAL AREA PLOT No. 25/2
MWANZA
TEL:0745694989
Administrative & Office
Job Summary...
Table of Contents
Top 10 Richest Cities in the World by GDP – 2017
#10. Shanghai, China — $516.5 Billion
#9. Moscow, Russia — $520.1 Billion
#8. Chicago, USA — $524.6 Billion
#7. Osaka, Japan — $654.8 Billion
#6. Paris, France — $669.2 Billion
#5. London, England — $731.2 Billion
#4...
Japan hajawekeza kabisa katika soko la Africa kwa ujumla. Sana sana kawekeza kidogo Egypt and South Africa. Soko kubwa la mjapani ni US ,Europe na Asia hasa huko China.
Ni mapema mno kulinganisha teknolojia ya Japan na China, tunaweza kusema huo ni mzaha wa kitoto kabisa.Mjapani yupo katika...
hy Do Chinese Billionaires Keep Ending Up in Prison?
In most places, being ranked by a prominent magazine among the wealthiest people in the country constitutes a great honor. Not in China. Such lists, known as bai fu bang in China and published in Forbes and its Chinese equivalent Hurun, are...
Petrobras scandal: Brazil billionaire Andre Esteves arrested
26 November 2015
From the section Business
Image copyrightReutersImage captionAndre Esteves was the head of the BTG Pactual investment bankOne of Brazil's richest businessmen and a top senator have been arrested as part of the...
Kumbuka Serikali inapobana mianya na Rushwa na kukusanya Kodi inavyotakiwa ,hiyo hela hurudi tena kwenye kufanya huduma za jamii kama kujenga barabara,huduma za afya shule nk.Huo ndo mzunguko chanya ambao unakua na impact ya moja kwa moja kwa jamii nzima.Hakuna taifa limeendelea duniani kwa...
Hata mimi nilitegemea hilo.Ile ni biashara sio ukumbi wa siasa,kutoa clip ya mteja ni kosa kubwa.Lakini kwa vile watu wapo kwenye mihemko wanafikiri kila kitu poa tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.