Recent content by Jasiri Haachi Asili

  1. J

    HOJA NIDA na UHAMIAJI Arusha kama ni mwanamke ukienda ukiwa umevaa suruali getini unaambiwa uvae kanga ama mtandio kama huna unatoa 2000 ya kukodi

    Wapo sawa, mnaenda mmevaa vichupi na sidiria. Mnataka wahudumu washindwe kutoa huduma wabaki kushangaa nyeti zenu.
  2. J

    Tatizo sio Kuomba namba ila Kumjaza kwenye 18

    Shukuru sana kijana kwakuwa na hilo domo zege. Mimi nalitafuta silipati.
  3. J

    HOJA Ajira mpya Serikalini tunapiga tu story ofisini, hakuna kazi za kufanya

    Kazini hakuna mtu ameajiriwa kwaajil ya kukufundisha kazi. Kila mtu ali submit cheti cha ujuzi aliosomea kabla ya kuajiriwa. Fanya kazi sasa..
  4. J

    HOJA Ajira mpya Serikalini tunapiga tu story ofisini, hakuna kazi za kufanya

    Chapa kazi kijana, acha kulialia. Ulisoma ili iweje? Unadhani kuna mtu ameajiriwa ili akufundishe kazi!!?
  5. J

    Kwa nini Waafrika wengi wanaoishi mijini huwa wanapenda kuzikwa vijijini ?

    Wanarudisha rutuba kijijini ili mazao yastawi vizuri
  6. J

    Kamati yafuta adhabu ya Kadi Nyekundu ya Gibril Sillah wa Azam FC, sasa kuwavaa Simba

    Hawakufanya marejeo ya FVS kabla ya kutoa RED CARD?!
  7. J

    Kama kuna kosa kubwa alilolifanya Mwl Nyerere ni kusaidia mataifa ya kusini kupata uhuru. Mpaka leo hili kosa linatugharimu

    Unamsaidiaje masikini kwa kumpa ekari 50 za kuanzia maisha? Huko ni kumuongezea umasikini. Mpe nusu ekari au ekari moja aanze mdogomdogo, huko mneleni ataongeza mwenyewe.
Back
Top Bottom