Recent content by Jarateng

  1. J

    Msaada, Tatizo la low voltage

    Hili ni janga! Binafsi nilifungiwa mita miaka miwili iliyopita na kila jioni ikifika umeme unakatika. Nimepiga simu Tanesco mpaka nimechoka, wanakuja mafundi wakitoka tu, umeme unakatika wakati nyumba za jirani zina umeme - mpaka AIBU. Siku moja mtu wa huduma kwa wateja alinipa namba nyingi za...
  2. J

    JOB OPPORTUNITY - HR MANAGER

    Job Title: HR Manager Introduction: Isamilo International School in Mwanza, Tanzania, is owned by the Anglican Church of Tanzania under the auspices of the Diocese of Victoria Nyanza. Established in 1956, the school initially served the children of expatriates and missionaries working in the...
  3. J

    JOB OPPORTUNITY - TEACHING ASSISTANT

    JOB OPPORTUNITY Isamilo International School, Mwanza is inviting applications for TEACHING ASSISTANT position. To be considered for this position you must have the following: Graduate degree qualification in Education, Experience teaching in an International Setting, Fluency in spoken and...
  4. J

    UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Ulipokuwa ukiwatenda wenzio vibaya, haukujua madhara yake? Tumeumia vibaya sana na wengine mliwapoteza! Je, Uko tayari kuwarudisha?
  5. J

    GE2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

    IGP Sirro ameapa kuwauwa kwa risasi na wenyewe wameapa kuwa hawamtaki kiongozi wa ccm! Sasa KIUMANE Ukishakuwa na urafiki na Rwanda au Burundi lazima uuwe watu wako kwa risasi!
  6. J

    Mwibara: Baada ya Tundu Lissu kuzuia njia ili kivuko kisishushe magari na mizigo, azua tafrani baada ya maiti kukwama kwenda kuzikwa. Tazama video

    Wewe nu muongo na umetumia nguvu nyingi kuwadanganya watu! Ngoja tukueleze ukweli: Wakati msafara wa Lissu ulipofika Kisorya saa 3.00 asubuhi kivuko kilikuwa Ukerewe na DC Magembe alikizuia kuja Kisorya "Eti ni Kibovu" na ilipofika saa 5.20 asb wapenda UHURU wakajitolewa kuwavusha kwa Mtumbwi wa...
  7. J

    Msekwa: Membe siyo mtu maalumu, afuate tu taratibu

    Kama asingekuwa mtu maalum ccm isingemhofia hivyo! Amefukuzwa juzi, zilipopita siku mbili Katibu Mkuu wa ccm akamkaribisha tena arejee. Kama asingekuwa chochote ccm wasingekuwa wanamzungumzia. By now he is a strong subject of discussion
  8. J

    Siri nzito iliyofichika kwa Prof. Assad (CAG aliyepita)

    Kwanini usijiulize kwanini watu wengi wanampongeza Pro. Assad au kwanini watu wengi waamini yasemwayo na Zitto Kabwe zaidi ya Magufuli? Kwanini usijiulize eeh? Zitto hana serikali na hawezi kuwateua kwenye nyadhifa zozote lakini wanamkubali; WHY? Can't you ask yourself man?
  9. J

    Hali ni tete Igunga suala la maji safi na salama

    Kumbe Igunga nako mnaisoma NAMBA, tajiri Rostam Azziz alikuwaga mbunge wa jimbo gani? Acheni kupiga kura kama hamna maji na huduma nyingine...
  10. J

    DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

    Nani ataisimamia halmashauri ya wilaya ya Magu na kuwatiisha watumishi? Madiwani wako hoi na mbunge yuko busy na biashara ya kuuza mafuta! Magu ni wilaya kongwe iliyovurugwa na wenyeji, kwahivyo watumishi wanatumia nafasi zao kujipigia watakavyo.
  11. J

    Naibu Waziri Kilimo, Bashe: Kama sio Mkulima asiongoze chama cha Ushirika

    Waziri mdogo wa kilimo amelishikia bango hoja ya kutaka vyama vya ushirika viongozwe na wakulima tu na sio vinginevyo! Nataka kumkumbusha Bashe kuwa kuna ushirika wa wavuvi, wafugaji, mafundi, saccos nk . Unamaanisha kuwa hao wavuvi wawatafute wakulima ndio wawaongoze? na wafugaji je? Umekuja...
  12. J

    Naibu Waziri Kilimo, Bashe: Kama sio Mkulima asiongoze chama cha Ushirika

    Hii kauli naona inajirudia kila siku, inaonekana huyo waziri anataka KIKI..! Swali la kujiuliza ni kweli Ushirika ni wa wakulima tu? Hivi hakuna ushirika wa wavuvi? Hakuna ushirika wa wafugaji? Hakuna ushirika wa mafundi? Saccos nazo si Ushirika? Nao waongozwe na wakulima? Binafsi simuelewi Bashe
Back
Top Bottom