Recent content by Janiffer

  1. J

    Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Nafikili hili ni kosa kubwa single mother wanafanya, me sidhani anaweza penda mtoto. Kama atakubali kuhudumia sawa ila sio kumpenda.
  2. J

    Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Nakumbuka kuna single dady humu jf alimwambia mchumba 3 weeks before ndoa kufungwa, alibaki analia tuu
  3. J

    Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Yani mwanaume anachukua na mtoto. Mda huo baba yupo au kafaliki
  4. J

    Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Mimi nafikili mwanaume sio rahisi kupenda mtoto, Japo wengi wanalazimisha tuu
  5. J

    Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Unaongea tuu ila kufanya hivyo uwezi. Na mtoto jamaa alisema umchukue je utafanya nn kama hataki kukaa nae.
Back
Top Bottom