Ndugu Mashauri nashukuru kwa maelezo yako. Swali langu ni je percentage rates zitabaki kama zamani. Angalia hapa chini:
DEPRECIATION FOR DIRECT IMPORTS
0to <1 year 10%
1 to < 2 years 15%
2 to < 3 years 20%
3 to < 4 years 25%
4 to < 5 years 30%
5 to < 6 years 35%
6 to < 7 years 40%
7 to < 8 years...
Mchambuzi, je unaonaje ukiandaa pia vipindi vya TV kama wafanyavyo kwenye discovery channels. Au Tanzania hatuna wataalamu wa kuandaa vipindi kama hivyo? (reconstruction/dramatisation of what happened). Hivi watangazaji wa zamani kama akina Kipozi si wanaweza kutuandalia vipindi kama hivyo...
Mfano ulioutoa sio wa kuigwa au hata kufikia kuita watu kuwa ni "bright"! Hiyo hali kama unavyosema ya kujitenga na kuwa na mikakati ya muda mrefu ndio ambayo imewafikisha kwenye machafuko na mifarakano iliyopo sasa. Fikiria kwa mfano kama kila kabila hapa Tanzania likianza kujitenga na...
Maswahiba wake wanamgeuka kwasababu hataki kusikiliza ushauri wao; kama anavyodai yule aliyekimbilia Afrika Kusini juzi. Huwezi kuleta mapatano kwenye nchi kwa kulipa visasi. Alitakiwa aunde serikali ya umoja wa kitaifa na awashirikishe watutsi na wahutu. Uadui kwenye nchi huanza pale kundi moja...
Rais Kagame na yeye anafanya makosa hayo hayo ya kuwazuia wanaompinga kurudi Rwanda! Serikali yenu ifuate mfano wa Afrika Kusini. Mfanye maridhiano na msiendelee kuchukiana. HALAFU KUMBE NDIO MAANA UNAPIGA KELELE TANZANIA IHARAKISHE MCHAKATO WA EAC!
Rufiji usihangaike bure!. Hujajua tu kuwa kuna watu aina ya 'Koba' wanaopiga kelele za kufungua mipaka ili wawe huru zaidi? Kuna watu wanataka kutumia mwanya huu kuwa huru zaidi. Yaani kuna watanzania ambao asili yao ni nchi jirani na tukifungua mipaka itawasaidia sana...Au hujui kuwa kuna...
Ukoloni ulitupumbaza sana sie Waafrika! Hizi dini zilizoletwa kwetu zimetufanya vipofu na kudumaza uwezo wetu wa kufikiri. Sikatai watu kuwa na imani za kidini lakini huu upuuzi wa kuiona 'dini yangu ni bora kuliko dini yako' huwa unanikera sana! Magaidi wanatumia dini kufikia malengo yao; kwa...
Kenya mna ukabila na udini. Kenya udini uko juu kuliko Tanzania. Unataka tukupe "facts" sio? Au unadhani hatujui. Mambo mengine ndugu yangu Smatta uwe unakubali..sio lazima uwe unatetea kila kitu wakati hali halisi inaonyesha vinginevyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.