Recent content by Jambo Jema

  1. Jambo Jema

    Maxence Melo ashinda Tuzo ya Haki za Binadamu ya Embassy Tulip Award 2026

    Hongera sana ndugu yetu M.M kwa hatua hii muhimu sana. Mambo ni moto sana.
  2. Jambo Jema

    DC Shaka: Bodaboda Hassan Seleman kauwawa na kuwekwa kwenye kiroba. Tumewakamata watu 6 na kila aliyehusika na dhambi hii lazima akamatwe popote alipo

    Sasa kama walikuwa wanataka hiyo pikipiki si wangeichukua tuu. Na kumuachia uhai wake?! Dunia simama nishuke!!!
  3. Jambo Jema

    DRC: Wanajeshi 66 wahukumiwa kifo kwa kosa la woga vitani

    Yaan niwache familia yangu kisa vita wee izo mambo sifanyi!! Unakufaje kizembe?!! Ila hiyo hukumu nayo haiko sawa. Wangeondolewa kazini tu basi.
  4. Jambo Jema

    Chief Godlove: Nimepewa onyo la mwisho video niliyolia nikitoa siri

    Hii ni kututoa mchezoni tusishughulike na mambo ya siasa!! FREE LISSU.
  5. Jambo Jema

    HOJA Mimi ni mwajiriwa Serikalini. Nilikopa, ila nimefeli malengo nahisi ninaenda kupotea

    Na michepuko huna,.. una shindwaje kujipambania?!.. mtafute Nanauka huko social medias akupe madini, humo humo ako na cancelling.. kichwa kitulie hicho.
  6. Jambo Jema

    Vijana wenzangu unapoamua kuoa mwanamke mchaga unapaswa kujua haya

    Huyu demu niliye naye ni wa Rombo, sasa sijui hapo nimejichanganya pia, au vipi wadau!! Duhh hii nayo kali, kiufupi Mungu atusaidie#
  7. Jambo Jema

    Gay's couple yazuiliwa kuingia Zanzibar

    Duhh. Mungu tupe moyo mkuu tuyashinde majaribu!!
  8. Jambo Jema

    Vijana wenzangu unapoamua kuoa mwanamke mchaga unapaswa kujua haya

    Huyu demu niliye naye ni wa Rombo, sasa sijui hapo nimejichanganya pia, au vipi wadau!!
Back
Top Bottom