Recent content by Jakanyangoe

  1. J

    Hopes and Dreams??? SOMA HII TAFITI NA CHUKUA HATUA!

    Naona umeandika kwa jazaba sana na kuchanganya kila kitu...hivi yawezekana kweli kuwa mikoa anayotembelea Kikwete ni kwa vile "AMEYAONA MAJITU HAYO ZUMBUKUKU"? Pili, Hizo fedha hata kuziandika noana unashindwa maana unaandika kwa mfano, "sh 9,239,389,394.25/-" badala ya sh 9,239,389,394.25...
  2. J

    Unakumbuka Siku ile ya machozi...

    Mimi nijuavyo ni kuwa Dr. Shaba ndite alifanya postmotem ya Moringe na ripoti ilikuwa siri sana kwa kweli. Kwa mara ya kwanza nilimuona Kambarage akitoa machozi hadharani pale Karimjee (bunge la zamani). Niliambiwa kuwa Lowassa alikuwa na mpango kuwa baada ya Kikwete urais ungehamia Monduli...
  3. J

    Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    Mimi nadhani hata balozi wetu Uingereza amekaa ki-CCM zaidi kuliko kiserikali maana Tanzania ni ya watanzania wote bila kujali itikadi za kichama....naudhika kama nini!
  4. J

    Golden opportunity forTanzania

    WanaJF hebu isomeni hiyo attachment ingawaje ni nefu kidogo kisha mtoe comments zenu
  5. J

    Jaka Mwambi huyoo kaenda Urusi sasa

    Mimi kwa mtazamo wangu nadhani kuteuliwa kwa Jaka Mwambi ni zawadi ambayo amepewa na kuachwa kwa Chokala ni matokeo ya Kugombea kinyang'anyiro na maswala ya Ukraine pamoja na kwamba kwa kipindi chake alichokaa Moscow pamekuwa nauhusiano mzuri wa Tanzania na Urusi katika nyanja ya elimu...
Back
Top Bottom