Recent content by Jackson Turary

  1. Jackson Turary

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Sijui mimi ndo sijui inakuwaje kesi ya uhainialoshtakiwa Lisu ibadilike kuwa Uchochezi na kuhkumiwa kwa kosa ambalo haukushitakiwa kwalo? Nasindwa kuelewa!
  2. Jackson Turary

    Kutoka Mahakamani: John Pambalu ashtakiwa kwa UHAINI

    Hii nayo ni shida ingine huyu dogo ataweza kuchomoka kweli hapo? Lisu ni jabali la sheria huyu je!
  3. Jackson Turary

    SI KWELI Je, asali ni nzuri kwa wagonjwa wa kisukari kama mbadala wa sukari?

    Asante watu wengi wenye chsngamoto ya ugonjwa wa kisukari wanafikiri kuwa kila kitu cha asili ni salama kumbe wanajizidishia matatizo makubwa.
  4. Jackson Turary

    Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

    Wanawake shikamooni mnatupasua kichwa
  5. Jackson Turary

    Gharama ya usafiri kupitia ATCL kuanzia KIA mpaka Dar ni laki 8+ haya ni maajabu

    Ndo maana hawajwahin kupata faida kila siku wanatengeneza hasara
  6. Jackson Turary

    Kwanini Wachaga wanapenda kuuliza hili swali?

    Wachaga wana akili nyingi ukiulizwa hilo swali ujue anachukua taadhari
  7. Jackson Turary

    Je, ni kweli gesi ya kupikia nchini Cuba inauzwa TZS 2,000? – Uchambuzi wa kitaalamu

    2000/= ya Tz kwa 15kg ya gas nchini Cuba kwa kweli sina vigezo vya kuhalalisha hoja yangu ila ukichakata kwa akili ya kawaida haiwezekani labda kakosea labda alimaanisha 20,000/=
  8. Jackson Turary

    Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

    Timu yangu ila kwa hili ikfungiwa nitapa utulivu wa nafsi, yani Engineer alikuwa anabembeleza kiaina ili akateuliwe kura za maoni Kongwa, mshenzi kabisa.
  9. Jackson Turary

    Msimu wa 2025/2026 Azam au Simba mmoja atakuwa Bingwa

    Yanga hii unaI......je! Utakuja ikimbia hii thread, Time will tell
  10. Jackson Turary

    GE2025 Binafsi katika maono yangu simuoni tena katika KITI cha URAIS 2025-2030

    Uzi wako ni wa mihemko na ni kama umekurupuka ndotoni kwani hujui kuwa hata kingepmbanishwa na jiwe achilia mbali kivuli lazima kishinde au ni ktk criteria gani ya uzi wako,
Back
Top Bottom