Unachanganya mambo mawili tofauti. Kwanza, hakuna anayesema PPP ichukue nafasi ya Serikali. PPP ni mfumo wa Serikali kushirikiana na sekta binafsi katika kufadhili, kujenga na kuendesha miradi ambayo inaweza kutoa huduma au kuzalisha mapato, huku Serikali ikiendelea kuwa na wajibu wa kusimamia...
Mkuu, mfano wa demand hauokoi hoja yako. 😂
Unaweza kubishana kama tafsiri bora ya partnership ni ubia au ushirikiano, lakini huwezi kusema PPP haina partnership. PPP Centre yenyewe inasema PPP ni ushirikiano wa kimkakati kati ya taasisi za umma na sekta binafsi
Mkuu, umesoma BA Economics tena UDSM halafu unasema “PPP si ubia”? Bora cheti ukiweke pembeni, tusome hata hizo herufi tatu taratibu: P = Public, P = Private, P = Partnership. Hiyo Partnership ya mwisho ulitaka iwe na maana gani,Ni Parking? 😂😂
Na hili si suala la tafsiri yangu wala ya David...
Ila ngoja nikuingize darasani kidogo naona wewe ni kilaza kabisa,
Yes, Ni kweli kwamba degree kamili ya Economics huwa na kina kikubwa zaidi katika economic theory na quantitative methods. Kwa mfano, MIT inaweka maeneo matatu ya msingi ya economics kuwa microeconomic theory, macroeconomics na...
Mkuu si sahihi kusema kwamba mtu mwenye BBA au MBA“hawezi kuwa mchumi” au hawezi kuelewa na kufanya uchambuzi wa kiuchumi kwa sababu tu degree yake haijaitwa Economics. Business Administration na Economics ni taaluma tofauti, lakini zina maeneo yanayokutana, hasa finance, investment, markets...
Hii ni hoja muhimu sana katika mjadala wa mustakabali wa uchumi wa Tanzania. Ukweli ni kwamba hatuwezi kuzuia misukosuko ya uchumi wa dunia, lakini tunaweza kujenga uchumi wenye uwezo wa kuhimili misukosuko hiyo. Takwimu zinaonyesha wazi kuwa tuna changamoto ya utegemezi wa bidhaa kutoka nje...
Wasalaam Jf,
Ukweli ni kwamba huyu jamaa anajua sana Uchumi.
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
PPP INAWEZAJE KUTULINDA DHIDI YA MISUKOSUKO YA UCHUMI WA DUNIA?
Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, Bwana David Kafulila, anasema, PPP Centre na mfumo mzima wa PPP vinalisaidiaje Taifa pale dunia inapokumbwa na misukosuko mikubwa...
Hoja yako ina msingi kwenye namna takwimu ilivyowasilishwa. Kama tunataka precision ya kitaaluma, 0.86% haipaswi kuwasilishwa kana kwamba Benki ya Dunia ilisema moja kwa moja ‘wanaume wakigawana kazi za nyumbani Tanzania itaokoa Sh trilioni 2.09.’ Hapo nakupa point.”
Kukubali kwamba kiungo...
hapa angalau umeanza kuisoma hoja kwa utulivu, lakini umefika karibu na mlango halafu ukageuka. ”
Ni kweli, kugawana majukumu ya nyumbani peke yake si formula ya moja kwa moja ya kusema kesho Tanzania imeongeza matrilioni kwenye GDP. Na sikusudii kusema baba akifua nguo, Benki Kuu iingize...
hapa umenitengenezea Kafulila mwingine, ukampa hoja ambayo sijasema, halafu ukamshinda huyo Kafulila wako wako wa kuchonga. 😄”
Sijasema “tuwaondoe wanawake nyumbani.” Nimesema wanaume na wanawake tushirikiane nyumbani ili malezi yabaki imara na wakati huo huo kila mmoja awe na nafasi ya kutumia...
Ni kweli, Benki ya Dunia haijatuma invoice Tanzania yenye maandishi“Pay Sh trilioni 2.09 for men not doing housework.” Hilo hata mimi sijalisema hivyo.
Hoja ni kwamba Benki ya Dunia imeonyesha kuwa kuziba pengo la kijinsia katika agricultural productivity kunaweza kuongeza ukuaji wa GDP kwa...
hapa umeona neno ‘kilimo’ ukadhani limenifuta kabisa neno ‘muda’. Lakini hebu twende polepole”
Ni kweli, Benki ya Dunia inasema kuziba pengo la kijinsia katika agricultural productivity kunaweza kuongeza annual GDP growth kwa 0.86% na agricultural output kwa 2.7%.
Lakini Benki hiyo hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.