Recent content by Izato

  1. Izato

    "Bila kuwa na namba ya NIDA, hakuna mtu kuingia kanisani/msikiti kufanya ibada." Inaweza ikaja kutokea mwaka 2028. Who knows??!!

    Very soon, inakuja hakuna mtu kuuza wala kununua asipokuwa kuwa na chapa
  2. Izato

    Moshi unafuka ndani ya mfumo sijui kasema kutoka moyoni au limemponyoka au ameongea akiwa anajua hawamsikii?

    Britannica kaleta mada yenye kufikirisha, badala ya wadau kujaribu kuzifungua sehemu zilizofichika, wao wamegeuka na kuanza kuleta malumbano mengine. Ebu tujikite katika kung'amua hizo sehemu zilizokuwa wazi. "Hayo yamesemwa na mtu prominent ****** kwenye *******, baada ya ******** kuonekana...
  3. Izato

    Mahakama Kuu itakuwa likizo kuanzia Desemba 15, 2026 hadi Januari 31, 2027

    Katika kipindi hicho pia madaktari na manesi wanapaswa kwenda likizo! Yaani wote wanakwenda likizo kwa wakati mmoja! Kwa nini katika ajira nyingine hakuna hizi likizo isipokuwa wao tu? Ungaliniambia toka tarehe 15 mpaka 31 Disemba 2026 angalau ningalielewa kutokana pilikapilika za mwisho wa...
  4. Izato

    Gerson Msigwa: Semeni, nani aliikosoa Serikali halafu akapotea?

    Huyu jamaa ni kenge mjusi kabisa! Anajizima data siyo! Yaani anataka kujisahaulisha kuhusu Polepole!
  5. Izato

    Jaji Mkuu Masaju: Mahakama inapaswa kuwa sehemu ambayo kila mtu anapata Haki bila kujali hali na nafasi yake katika jamii

    Hata Ponsiyo Pilato naye alifikia uamuzi wa kunawa mikono kwa kisingizio cha kukwepa kumtendea haki mtu asiyekuwa na hatia.
  6. Izato

    Moshi unafuka ndani ya mfumo sijui kasema kutoka moyoni au limemponyoka au ameongea akiwa anajua hawamsikii?

    Kikombe cha maovu na uharibifu kimeshajaa sasa. Kilichobakia ni kwa wahusika kupata stahiki zao.
  7. Izato

    Kuifuta Chadema itakuwa kamari ya kijinga sana kufanywa tangu Nchi hii ivumbuliwe na Wakoloni

    Serikali kamwe haina jeuri ya kulifuta kanisa Katoliki nchini Tanzania, kwa CDM wanaweza fanya hivyo.
  8. Izato

    WAPO Radio FM yatangaza rasmi kusitisha matangazo yake yote kuanzia Novemba 16, 2026

    Tatizo ni nini hasa hadi kupelekea kufungwa kwa WAPO Radio? Ingalikuwa ni vyema askofu angeliweka wazi ili wadau walifanyie kazi.
  9. Izato

    Kipenga kimepulizwa! Asiyekuwepo hana lake! Mtaalikwa, msipokuja jahazi linasonga mbele!

    Invitation letter!? Ameshika shada la maua mkononi mwake lakini ndani yake akiwa ameficha jambia huku akiwakwa tamaa ya kuzidi kuuwa!
  10. Izato

    Kipenga kimepulizwa! Asiyekuwepo hana lake! Mtaalikwa, msipokuja jahazi linasonga mbele!

    Akifanyacho mtu ndivyo akili yake ilivyomtuma kutenda. Akili pana hufanya maamuzi sahihi kinyume chake ni haya tunayoyashudia hivi sasa kutoka watawala. Makosa ya 29 October 2025 yanakwenda kujirudia kutokana na akili visoda za watawala. Wanaringia matumizi mabaya ya vyombo vya dola ili kutetea...
  11. Izato

    Rafiki wa Mume wangu............

    Bar and bra are inseparable when opened to the men 🥺😩
  12. Izato

    WaTZ Tujifunze Kuheshimu Mamlaka! Pamoja na Madudu Yote, Zina Mamlaka Kufanya Madudu Hayo!, Zina Kinga ya Cocoon, Hatuwezi Kuzifanya Lolote, Chochote!

    Paskali watendaji wafanye tu wapendavyo bila hata kuzingatia miiko wala maadili ya kazi zao kwa kuwa tu eti hatuwezi kuwakemea, kuwalalamikia, kuwakasirikia, wala kuwashitaki kisa tu hatuwezi kuwafanya kitu chochote kile! Nyerere alituasa kuwa tutawashitaki kwa Mungu, na hata ikiwezekana kwa...
  13. Izato

    Wadau tustuke, huyu raraa reree ni nani? ana like kila post hasa za siasa?

    raraa reree ririi roroo ruruu X 100
  14. Izato

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    Cha muhimu ni Samia aondolewe katika nafasi hiyo ya urais ambayo amejitwalia kwa hila na ghiliba. Hiyo ni kwa faida ya maslahi mapana ya nchi yetu, CHADEMA, na hata CCM wenyewe. Kama Makamu wa Rais ameweza kumtendea aliyomtendea, katika mchakato wa kumtafuta mrithi wake hali ya kisiasa itakuwa...
  15. Izato

    Kwanini walokole huishabikia Israel?

    Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa Hosea 4:6 Baada ya Yesu Kristo kufa msalabani na kufufuka alifanya Agano Jipya na wanadamu na kulifanya Agano la Kale kuwa kuukuu. Na kwa kufanya hivyo wateule wote, Wayahudi na watu wa Mataifa, wanahesabiwa kuwa wana wa Abraham — si kwa damu, bali...
Back
Top Bottom