Tundu lissu ni maarufu kwa sababu anaongea sana, na kuwa muwazi. Hiyo haiwezi kuwa sifa pekee ya kuwa kiongozi bora. Bahati mbaya Mzee Mbowe ana sifa za chini ambazo watu wengi wanaotazama juu juu hawani. Fikiria kudumu na hicho chama kwa miaka 20+ kwa mazingira ya Tz ya CCM, si mchezo eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.