Recent content by ishengoma

  1. I

    Sua Nao Kwawaka Moto. Wapinga Rais Wao Kuapishwa

    Leo hii vijana wa SOKOINE UNIVERSITY Wameapply for the preliminary objection dhidi ya kuhapishwa kwa rais wao mteule baada ya mchakato mzima wa kampeini na uchaguzi kujaa dosali. mahakama imekubali pale Morogoro na kutoa kubali cha kusimamisha kuapishwa mpaka malalamiko yao yatakapo...
  2. I

    Mkandala ajiuzulu?

    kwenye sentensi yako ya kwanza umeweka neno ukabila, lakini katika hoja zako sijaona ni wapi umeeleza kuwa amependelea kabila fulani. usirise hoja ambao hautaiongelea kwenye utetezi wako. pia wakati wa kugoma sikusikia hoja kama hiyo, hta vile, wale waliofikishwa mahakamani niliona majina ya...
  3. I

    Serikali yatimua wanafunzi UDSM

    na pia wewe unapuuzia yote waliofanya viongozi wa wanafunzi pale waliposhnikiza wanafunzi wenzao kupinga mgomo kwa kutamka kuwa ni mgomo batili. si ndio hao hao unaowageuka?
  4. I

    Serikali yatimua wanafunzi UDSM

    lakini ninasikia wameresume masomoni. je wamefuata ushauri wa nani?
  5. I

    Serikali yatimua wanafunzi UDSM

    ninakupinga kwa sababu tatu; 1. kusema kuwa amekulia mlimani ni sentensi tata ambayo wewe kama mchangiaji ulipaswa kuona kama likuwa mtoto wa mkazi ya maeneo hayo, whether ni mfanyakazi or the opposite, na alikuwa anaenda kusoma shule za nje kama mlimani primary school, hata shule za...
  6. I

    Serikali yatimua wanafunzi UDSM

    UTASUBIRI NINI WAKATI WATU TAYARI WAMEFUNGIWA KWENYE LIBRARY, MADARASANI NA HATA KUPIGWA ETI KWA SABABU HAWAKUBALIANI NAO? TANZANIA DAIMA YA LEO IMEMKWOTI SHIVJI AKIWASHAURI WANAFUNZI KUWA INABIDI KUJIFUNZA KUGOMA KWA MAMBO AMBAYO WATAPATA SUPPORT KUTOKA KWA WANANCHI.( nadhani alitaka kusema...
  7. I

    Serikali yatimua wanafunzi UDSM

    ongea taratibu mwafrika wa kike asikusikie
  8. I

    Serikali yatimua wanafunzi UDSM

    unajua hata nyerere aliokuwa nao walishindwa kumuelewa na wakaogopa kumuuliza wakati ule. pia yesu vile vile. naomba sasa unifafanulie ili niweze kuelewa ulichokieleza.
  9. I

    Serikali yatimua wanafunzi UDSM

    kauli gani, bwana Mushi, kukataa kusupport kwa sababu hamna hoja za msingi, kukataa kwa sababu kuna njia nyingine zainazoweza kusaidia vijana wetu waendelee kusoma kwa amani, kukataa kutokubaliana na vitendo vya kuhuni? nani alijua kuwa uma unaweza kutumia bongo kuleta mageuzi badala ya vita...
  10. I

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    kwa hiyo wanaogopa taratibu wakati wanasomea taratibu zenyewe. i wonder to see you encouraging the lawlessness of every person at UDSM, and that being the case even Mkandala is right. kila mtu achukue sheria mkononi? eti kumbe wewe na wale wavuta bangi ni kitu kimoja ndio maana unasema kwa...
  11. I

    Serikali yatimua wanafunzi UDSM

    NO. KWA SABABU LOWASA HAKUJENGA HOJA YOYOTE ISIPOKUWA TU KUSEMA NIMESINGIZIWA, HUKU WATU WAKIJENGA HOJA. NA HAPA KWA SABABU TUMEJITAHIDI KUJENGA HOJA KITU GANI KITATOKEA NA NINI KINAWEZA KUFANYIKA HUKU WEWE UKITUMIA MANENO YASIO YA USTAARABU NA KASHFA ZA VIOJA BADALA YA HOJA KAMA HII HAPA...
  12. I

    Serikali yatimua wanafunzi UDSM

    NIMEANZA KUDOUT UPEO WAKO WA KUJENGA HOJA.
  13. I

    Serikali yatimua wanafunzi UDSM

    we haya unayoyasema ni mgomo huu unaoendelea au yale ya zamani?
  14. I

    UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

    Kama utatumia swala la kusimamishwa huyu kijana Mganda, Mkandala anakufunga bao kwa njia hizi. kama nilivyosema, muda uliotolewa unatosha huyu jamaa kuwa ameenda Uganda na kurudi madam uchaguzi bado haujafanyika. huwezi kuprove kuwa uchaguzi umeingiliwa wakati bado haujafanyika. Pili kama...
  15. I

    Serikali yatimua wanafunzi UDSM

    i still reason within the ambit of no to mgomo kama ni kuwachagulia huyo rais ambaye hawamtaki nitawasupport wakinijibu hili. tangu huyo kijana amesimamishwa ili alete yaliyodaiwa kuwa ni origina certificate, si zimepita wiki mbili na zaidi? hivi wiki mbili ameshindwa kutafuta hicho cheti...
Back
Top Bottom