Recent content by isebhusana

  1. isebhusana

    Tetemeko la Ardhi lapiga Kanda ya Ziwa muda huu

    Nipo Geita wilaya ya Mbogwe hapa LULEMBELA limepiga kisawasawa imenikuta nikiwa Masasi Lodge mwanzangu amekua na wenge balaaa
  2. isebhusana

    Wakuu leo nimepishana na ISRAEL mtoa roho

    Mimi kuujua umeme ni hatari niliwahi kuona kwa macho yangu bisipisi yaani ile testa ikaliwa pigwa kama radi nikabaki nmeshikilia kishikio kile chuma cha mbele kiliyeyushwa na sikukiona kilikoishia niliduwaa nilikua juu ya nguzo za umeme niliteremka gafla
  3. isebhusana

    Niliiba gari nyumbani nikiwa form 2 nikala mzinga

    Mnaona sasa stori ya ukweli inavyokuaga tifauti na yakutunga, Tunataka ukwel kama huu sasa huchoki kusoma hata kama ni ndefu.
  4. isebhusana

    New couple in town

    Nasikia kamtoa bkra tayar mazima aoe kwa lazma
  5. isebhusana

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Zuhura2
  6. isebhusana

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    zuhura
  7. isebhusana

    New Force yapata Ajali Tanangozi Iringa

    Inamaana mabasi wameacha kuyasidikiza tena hawa maaskari ,, si walisema itakua inchi nzima
  8. isebhusana

    Panya kavunja ndoa ya watu

    Nani alibaini kama ni panya alieipeleka bukuta kawa BEK3
  9. isebhusana

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    mbona kama anataka kukimbia huyo,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. isebhusana

    Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

    Hapo kwenye kuolewa hapana tatizo ila anatakiwa mzee achukue mkewake kama amempenda
Back
Top Bottom