Kwa hiyo Johari anahangaika na Mange?..kwamba huyu dada ndio kiini cha tatizo?..
Kuna watu wapumbavu sana...ila ili ule hela za kodi lazima utengeneze mambo ya namna hii...
Hivi wewe kobazi lofa nini?..wao hawataki si basi...endeleeni na wakina Spunda si wapo?...
Kwa taarifa yako mnatakiwa kuridhiana na wananchi wala sio chadema....ila kwa kuwa mnaona raia wa kawaida wase.nge endeleeni...
Muda ni mwalimu mzuri...
Wananchi wanateseka sana....wanakosa pa kukimbilia..
Leo tumeshuhudia uharibifu wa mali kesho tutaanza kuona mabosi wakitolewa uhai...itakuwa too late.
Nchi kama Nchi ni muhimu sana iwalinde watu wake...hawa wachina na wahindi wanawanyanyasa sana wafanyakazi na sababu ni simple tu kwamba wanajua Nchi haijali....
Inaumiza sana....
Kuna mdosi alinifanyia use.nge miaka hiyo bongo ni bongo haswa...naamini yule fala kama yupo hai lazima kila wiki...
Hii ndio Tanzania wengi wasioijua....
Alafu wanasema sio wao waliompiga risasi...aisee
Mzilankende bwana...kiko wapi sasa?...
Muda ni mwalimu mzuri sana....
Hii ndio CCM sasa.....
Unafikri watetezi wa F watakuelewa?
..Hawa ndezi hawajui hata kwa nini tunapinga hili..
Hawa vilaza wanataka Div 1 yenye F tena ya Basic mathematics...
Prof Mkenda ni very smart ila itakuwa wamemzidi nguvu hawa vilaza....
Watu waliofeli ni Toxic haswa...
Wanataka Div 1 huku una F ya basic mathematics..fucken stupid..
Dunia ya leo unataka uishi bila hata basic principles za mathematics?....
Nchi ya kifala sana....uwepo wa penati unampush...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.