Recent content by IQup

  1. I

    Kwanini Walokole wanaomba kwa kelele wakati Yesu alisema waombe kimyakimya?

    Fuatilia ibada za kilokole, Ile ni vita ya Imani "rohoni"..unavyotamka ndio utendaji kazi unavyokua, na unavyofanya ndivyo utekelezaji unavyokua, ndio maana hata kuyatoa mapepo ndani ya mtu yanatolewa kibabe babe😄😄..yaani kwa kiufupi ni kwamba mambo ya kijinga yanatatuliwa kibabe ...hii ndio...
  2. I

    Kwa nini Makonda asingepelekwa Wizara ya Uvuvi? Na Mwana FA angepandishwa kuwa Waziri wa Wizara ya Michezo?

    Kuna wizara ukiisikia akili Yako haraka haraka inawaza kwamba huyu bwana kapelekwa mwanza ziwa Victoria, ama kapelekwa sumbawanga lake Tanganyika kwahiyo hatutamsikia huku mjini....ila uhalisia mambo hayako hivyo, tuache kufikiri kuwa baadhi ya wizara ni za mijini na zingine ni za mashambani 😀
  3. I

    Katibu wa Chadema Mkoa wa Iringa asimamishwa Uongozi kwa kushobokea Maridhiano ya kinafiki na CCM

    Safi, taasisi ikisema nyuma geuka inatakiwa wafuasi wote watiifu wageuke nyuma wabakie wakaidi ili mjue mnadili nao vipi hao wakaidi...huwezi ukajiamulia mambo kinyume na maagizo ya viongozi wako wa kitaifa...hayo si maadili
  4. I

    Kwanini Walokole wanaomba kwa kelele wakati Yesu alisema waombe kimyakimya?

    Ule ni ulimwengu halisi wa rohoni, kama ni kupigana vita inajulikana inatakiwa muweje ili kuikabiri vita 😀. Unataka wapigane vita wakiwa legelege?..kama ni sauti inatakiwa iwe imara yenye mamlaka, kama ni kitendo kinatakiwa kifanyike kwa nguvu na ukakamavu mkubwa...hiyo ni vita sio sherehe ya...
  5. I

    Kwanini Walokole wanaomba kwa kelele wakati Yesu alisema waombe kimyakimya?

    Hamna makanisa ya muundo huo, mm Bado sijayaona. Kama wanalazimishwa kuomba kwa sauti basi hapo Pana shida
  6. I

    Kwanini Walokole wanaomba kwa kelele wakati Yesu alisema waombe kimyakimya?

    Kuomba kwa sauti kubwa ama sauti ya chini hakuna tatizo kama mtu huyo anaomba maombi ya kweli kwa Mungu wake, sio kwa kujionyesha Wala kumsumbua mtu mwingine. Maombi ya kweli ni Yale maombi anayoomba mtu kwa Mungu wake, wapo wengi huomba kwa ajiri ya kuonyesha kuwa anajua kuomba, ajionyeshe kwa...
  7. I

    Wizara zilizopo zinawashinda kuziendesha mpaka mkope, sasa mlizoongeza mtaziendeshaje?

    Kuwaelewa ccm ni ngumu mno, wizara ziliunganishwa kwakuwa zilikuwa zinafanana majukumu yake wakaona waziunganishe maana wanqpunguza gharama zisizo za lazima, Leo hii wanazigawa tena ..alafu kukiwa na ukata mkubwa wa pesa serikalini, mwenye akili akikaa akiwaza anaona kabisa kuna mahali wanakwama...
  8. I

    Kwa mambo rais Samia anayofanya kama rais, ninaamini kwa dhati amepanga kutoishi Tanzania au kuhakikisha muungano unavunjwa baada ya awamu yake

    Hata Mimi naona hivyo, anawapa wakati mgumu sana wenzake huko chamani. Yaani ni kama vile akimaliza muda wake soon ataruka akaishi nchi za ugenini Hadi umauti utakapomkutia huko, familia atabeba ila hataweza kubeba ndugu zake wote, anawapa wakati mgumu mno viongozi wa chini kwenye chama maana...
  9. I

    Safi sana Mheshimiwa John Heche!

    Umekutana na mnyika anamuita; Ndugu Samia...... Rais halamu Samia...😀😀
  10. I

    Mangungu hana sifa, ila amechukua fomu kwa lengo la kuvuruga Simba SC

    Anapata ulaji, kusomesha watoto, kulisha familia, mambo mengine ya kusaidia ndugu zake ujue vyote vinategemea nafasi yake pale Simba sports club...kuachia kwa urahisi ni ngumu mno😀😀😀...mtatoana maini 🤣🤣,
  11. I

    Dodoma inajengwa na Gov+ Businesmen + mafisadi but Mwanza inajengwa na Business Man tu, ni muda tu

    Naona wewe ndio umejaza chuki kwenye moyo wako, Kila anayeongea unamtafsiri kama walivyokutuma😀😀. Hizo picha unazoposti ni sahihi Dodoma inasonga mbele ila uchumi wa wananchi wake ni duni mno....hapo utaposti miradi ya serikali tu utaijaza humu ila ukweli unabakia pale pale ndio maana hata...
  12. I

    Dodoma inajengwa na Gov+ Businesmen + mafisadi but Mwanza inajengwa na Business Man tu, ni muda tu

    Anzia mwanzo uone mtoa MADA aliandika Nini, kama hujaelewa ndipo tuendelee na huo mtiririko wako
Back
Top Bottom