Recent content by interlacs

  1. I

    Rais Kagame: Umwagaji Damu nchini DR Congo hauihusu Rwanda

    Kagame ni Mwizi mkubwa, nani asiyejua kama mwaka 1998 majeshi yake na ya Uganda yalipigana Kisangani na kuuwa watu? Nani asiyejua kama Generali James Kabarebe alikua general wa majeshi ya DRC na Rwanda mwaka 1998 chini ya Utawala wa Kabila Baba? Kama hausiki Angola alienda kufanya nini? Nairobi...
  2. I

    Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    " This is Ndungai I know", neno hili amelisema anayejiita Askofu Gwajima kwenye kwenye press conference yake leo. wana JF mkisiliza kwa umakini press ya Gwaji Boy, mutagundua kuwa yeye na SPEAKER ( SPIKA) ni Team moja. Alivyoanza Press yake alianza kwa kukubaliana na maneno ya spika na amekiri...
  3. I

    TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

    Juzi Mzee wa TCU leo Mama Anna! kweli kirusi cha Delta kipo. Lakini watanzania hawataki kuambiwa ukweli. Viongozi wa dini Mungu anawaona , munachangia sana kupotosha wa Tanzania, kwa Mungu hampo na Sayansi hamuijuwi. Majanga yalikuwepo toka enzi ya kina Yakobo hakuna kitu kipya chini ya jua ...
  4. I

    Kwako Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

    Sisi tunataka wataalamu wote wanaomaliza mikataba yao ya kazi wapewe fedha zao zote, maswala ya unemployement benefit sisi hatutaki. eti mpaka mtu asubiri atakapo timiza miaka 50. wakati life expetensy ya Mtanzania ni miaka 45 si ujinga huo, waache wizi.
  5. I

    Kwa ‘madudu’ haya kwenye ripoti ya CAG, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa achia ngazi

    ni haibu, hadi kwenye ofisi yake kuna madudu. Tangu aseme uwongo akiwa msikitini kuhusu ugonjwa wa JPM, sina imani naye tena. Ogopa mtu anayesema uwongo msikitini...
  6. I

    CAG Atilia Shaka Malipo ya Sh Mil 830.7 Clouds & TBC

    Ndiyo mana mapambio ya kusifu na kuhabudu yalikuwa mengi. Warudishe fedha za walipa kodi.
  7. I

    CAG Atilia Shaka Malipo ya Sh Mil 830.7 Clouds & TBC

    Ripoti ya CAG imeonesha kuwa Clouds FM na TBC walilipwa shillingi za Kitanzania zaidi ya Milioni 800 kwa ajili ya kutangaza tamasha la Urithi, lakini malipo hayo hayana ushahidi wowote as hawakuonesha risiti ya kielektroniki (source: CAG report, 08 Apr 2021). Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa...
  8. I

    CAG aongea na waandishi wa habari - Aprili 8, 2021

    Clouds FM rudisheni pesa za wanyonge, kumbe mnashirikiana na mafisadi kutapeli pesa za wanyonge...
  9. I

    Kwa madudu anayoanika CAG, kumbe Magufuli uongozi wake ulikuwa sifuri tu

    Kwa taarifa yako hakuna kipindi ambacho watu walipiga pesa kama kipindi cha Magu. Unajua kwa nini? ukitaka kujua wabaya na wazuri wako, wape watu uhuru wa kuongea utajua mambo mengi na unaweza kujikagua. Huku wilayani, wakurugenzi wanapiga hela kama nini Mkurungezi wa Buhigwe na DMO wake wezi...
  10. I

    Hospitali ziongozwe na CEO badala ya Mganga Mfawidhi

    Umeongea point nzuri sana, tatizo wenyewe watakusikiliza? Madaktari wao ni kama miungu watu. Wanajiona wanajua kila kitu na wanawaona wengine kama takataka. Pointi zako zina mashiko. Mganga mfawidhi huyo huyo atoe matibabu, huyo ni apokee wageni, huyo huyo asimamie vikao, huyo huyo aimize...
  11. I

    Naomba ufafanuzi toka wafuasi wa CCM na viongozi wao - Mabeberu ni kina nani, ni nchi wahisani au wafadhiri?

    Mabeberu ni wazungu au watu wowote wanaotukosoa, lakini watu hao hao wakitupongeza ( low middle income country kwa mfano) hao siyo mabeberu. Ila wakitusoa kwa mfano wakisema hatufuati democrasia hapo wanaitwa mabeberu, wakitupongeza kwamba tumejenga daraja na kupambana na ufisadi kibao...
  12. I

    Zitto: Kwanini Serikali inaogopa Wachunguzi wa Kimataifa? Ushauri wa Lema swadakta

    siku laumu, nakuelewa, hapo ndo mwisho wa kufikiri kwako. Hujuwi maana ya uwajibikaji, kwako wewe kadi ya chama ndo kila kitu. Hujuwi wajib wa polisi, hujuwi haki zako za msingi, wewe unapelekwa na upepo. itatowaje taarifa wakati wao wenyewe ndo wamemchukua? walimchukua mchana kweupe afu unasema...
  13. I

    Tanzania ya Magufuli yaipiga Kenya kwenye mizigo ya Rwanda. Sasa, asilimia 70% ya mizigo ya Rwanda inapitia Dar es Salaam.

    ungejua wanaosimamia mizigo ya Rwanda ni watu gani ungewasifia wa Kenya. Jiulize kw anini JK hakuwapa nafasi watu hao. JK siyomjinga.
Back
Top Bottom