Recent content by intellectual39

  1. I

    Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Chadema mnapaswa kubadilika, haraka sana. Kwa hili la leo, mlikosea, kuweni wa kweli kukubali. Mgombea alipaswa kuwa na inspiration speech if not hints za ilani. Then clarification inaweza fanyika kwenye small group kama mlizofanya for some days a go. Your launch was very unorganized, wale...
  2. I

    CHADEMA imepona, CUF itapona? Mchezo wa uwezo wa ujasusi unaendelea!

    Huwa mchangiaji wa mara chache sana, angalau ni member wa muda mrefu. Nilishawahi kukubali post ya huyu jason, some years a go. Today is my justification. Hongera, wish you join for more details as you did years back.
  3. I

    Bunge laahirishwa ghafla tena, Wabunge 11 wa Upinzani wahojiwa na Kamati ya Maadili

    You got a point somewhere. Nimeona kamati ya maadili ya bunge very recently, maamuzi yao ni matumiz ya nguvu, sikutegemea utawala mzuri kufanya hivyo badala ya ku build cooperation. Tunapaswa tujitathmini upya
  4. I

    Bunge laahirishwa ghafla tena, Wabunge 11 wa Upinzani wahojiwa na Kamati ya Maadili

    Point yako imeeleweka. Lakini, Kwenye jambo kama hili ni vema tukae beyond parties, beyond leadership or representatives. Tukae kama watanzania na tutengeneza sheria na sera bora kwa pamoja. History shows that, whenever has resources like gas/oil. There are two outcomes, moja ni classes za...
  5. I

    Bunge laahirishwa ghafla tena, Wabunge 11 wa Upinzani wahojiwa na Kamati ya Maadili

    Hii ni sensitive issue. Kuhusu utungwaji wa sheria. Kuwe na free forum ya discussion in absence of political parties. Ningependa nione discussion isiwe na vyama, kunaweza kukawa na tatizo la kimchakato wa utungwaji sheria, from gvt to parliament, stakeholders participation etc. Liangaliwe kwa...
  6. I

    Bunge laahirishwa ghafla tena, Wabunge 11 wa Upinzani wahojiwa na Kamati ya Maadili

    Serekali ipo kwa niaba ya wananachi. Miswada, sheria inapaswa i serve interest za wananchi. Upinzani kazi yake ni kuikosoa serekali pale isipotekeleza or serve interest za wananchi. Sheria, zinapaswa zipelekwe zenye maslah ya wananchi, bunge likae kiutaalamu na kutengeneza sheria iliyo bora kwa...
  7. I

    Mpenzi wangu anavuta bangi

    hii thread inaonesha ni kwa kiwango gani members mmekuwa ni watumiaji wa bangi, jamani bangi sio kitu sahihi kabisa, faitilieni side effects za composition yake ili mjifunze. kwako uliyeleta uzi huu, partnership ya mapenzi ni kama ya biashara, inategemea na malengo yenu na tabia zenu. kama...
  8. I

    Dr Francis Michael Umetuangusha Kwa Hoja dhaifu katika dhana ya utafiti

    Members, Taaluma, maoni binafsi na matamanio ya kimaisha either political, social or economical ni vitu visivyoenda pamoja hata siku moja. yaani mutual exclusive. Taaluma kama yenyewe inaweza mpa nafasi mwenye kuimiliki, kufanya utafiti na kutoa hoja zake na kuzitetea, yamkini yupo anayeweza...
  9. I

    Rwanda, Tanzania pay highest for lecturers

    By Mzee Mwanakijiji I'm trying to explain something (the quality of education..) but I can't... what are we paying for? Are we paying for the education that the professors acquired or are we paying for the education they are giving out? This is narrow view on the work of...
  10. I

    Kuuliza Multiple Choice Question katika University Exams: Tunapima nini?

    nikusaidie kwa ufupi, mara nyingi hutumiwa kupima uelewa mpana wa maeneo mbalimbali ya course, ikitungwa vizuri ni aina bora ya maswali, essay qns mara nyingi hujiwekeza kwenye sehemu chache. soma vizuri then utaelewa mdogo wangu. [/LEFT]
  11. I

    Udom udom udom

    Safi njali, Sasa umekuja vizuri, kuna comment yako flani ndani ya hii topic umeeleza academics na participation in public affairs iko safi sana, haya ndo matumizi mazuri ya networking. In a brief view regards to your Topic, Academic staff wa UDOM 70% walikuwa Junior chuo kilipoanza .. yaani...
  12. I

    Udom udom udom

    Njali tengeneza busara katika hoja, mnaweza fikisha taifa pabaya kwa kutaka kuaminisha kile unachoamini or unachotaka kiwe bila facts, ningependa vijana mjadili mada kwa weledi. comment yako ina mapungufu mengi sana, UDOM ipo karibu na pwani ? Niwape busara, jifunzeni kutumia social networks...
  13. I

    Udom udom udom

    upo sahihi sana Jallen, I remain anonymous ila counts zinaonesha hiyo dini inayosemekana inapendelewa wapo wachache sana, kwenye idara unakuta mmoja - watatu out of more than ten members. naomba pia nijibu comment ya mwenye mada that focused on my arquments, Njala tengeneza busara katika hoja...
  14. I

    Udom udom udom

    Inasikitisha vijana wadogo mnajadili vitu vikubwa msivyovijua, kazi za university..Academics-Teaching, Research and Consultance, hamfikilii kuhusu academic institutional credibility hufikiwa kwa vigezo gani, staffing credentials, years and quality of academic, research conducted and consultancy...
  15. I

    Speech ya JK kwenye msiba wa Mandela.....January vs Premi

    kwa upande wangu, this was the best speech, I have heard from president JK, Thanks president, ilikuwa speech nzuri sana,
Back
Top Bottom