Recent content by insane

  1. insane

    Mwanga ni sehemu tu ya sumaku na umeme

    Ndio maana nikasema kwa binadamu
  2. insane

    Mwanga ni sehemu tu ya sumaku na umeme

    Kwa binadamu, ulimwengu mzima usingefanya kazi bila mwanga. Tunaona na kuelewa vitu sababu ya mwanga. Bila mwanga, macho yetu yasingeona vitu. Kiukweli sisi wanadamu hatuwezi kuishi bila mwanga wa jua. Mwanga utatusaidia kuelewa muundo na tabia ya kila kitu kuhusu atomi kwenye ulimwengu. Huu...
  3. insane

    Ndugu wanaJamiiForums, aminini nawaambieni! UCHAWI UPO...

    Asante kwa kuwa unaelewa taarifa kama za picha,sauti,video zinaweza kusafiri kupitia waya. Pia hivyo hivyo ukitikisa elektron zilizopo kwenye waya zinatola kwenye waya na kuanza kusafiri angani kwa kasi ya kilometre 300000 kwa sekunde
  4. insane

    Kwanini Watanzania wengi sana wanachanganya L na R?

    Acha kujifanya mjuaji hizo L na R ni kwaajiri ya kiingeleza tu
  5. insane

    Naomba watu wenye uelewa wa juu wanijibu haya maswali mawili

    Mnataka mkipata jibu kisha mkalifanyie nini?
  6. insane

    Mfumo wa democracy haufai kwa Africa

    Wachache watakuelewa
  7. insane

    Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

    Hizo ni story tu. Kingekuwa ni kipindi cha rocket wangekuja na Skendo za rocket
  8. insane

    Ukiachana na 'kesho uje na mzazi' ni kauli gani nyingine ilikupa presha ukiwa shule?

    Mimi nilikuwa nawahi namba kisha kuwauzia waliochelewa
  9. insane

    Hakuna kazi ngumu kama hii kwa kijana aliyefanikiwa hata kidogo tu🤔

    Kwenye kushiliki tendo. Lakini sio kwamba umekosea kusema hivyo kwani akishakuwa mtu sahihi sizani kama mambo ya sex yanaushawishi wa kuhalibu mahusiano yenu
Back
Top Bottom