Recent content by informer 06

  1. I

    H/Manispaa ya Ubungo: Utoaji wa mikopo ya asilimia 10 unazingatia sheria, uwazi usawa kwa waombaji

    Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imetoa taarifa ya ufafanuzi kuhusu hoja ya mdau kuhusu madai ya kukumbana na changamoto za kupata mkopo wa asilimia 10. Taarifa ya Manspaa hiyo imeeleza na kutoa ufafanunuzi "Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inasisitıza kuwa utoaji wa mikopo ya asilimia 10...
  2. I

    KADEFO kufanya mkutano wake wa kwanza Desemba 23: Balozi Mulamula atoa wito kwa wadau kujisali kushiriki

    Taasisi ya Maendeleo ya Mkoa wa Kagera (KADEFO), imewakaribisha wanachama wake kuendelea kujisajili, kushiriki Mkutano Mkuu wa Kwanza unaotarajiwa kufanyika mkoani humo, Desemba 23, mwaka huu. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa KADEFO, Balozi Liberata Mulamula, mkutano huo...
  3. I

    LHRC wanatoa tamko lenye uchambuzi kuhusu Hukumu ya Kesi ya Lissu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinatoa tamko rasmi kuhusu hukumu iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Tamko hilo linatarajiwa kuelezea mtazamo wa kituo hicho kuhusu mwenendo mzima wa shauri hilo pamoja na kuzingatiwa kwa misingi ya haki, usawa, na utawala wa...
  4. I

    Kilimanjaro : Baadhi ya Wanafunzi Shule ya Viziwi Msandaka wagundulika na changamoto ya nta masikioni

    Baadhi ya wanafunzi katika Shule ya Viziwi ya Msandaka mkoani Kilimanjaro, wamegundulika kuwa na matatizo ya kuziba masikio kutokana na mlundikano wa nta, maambukizi, na uwepo wa vitu vya kigeni masikioni. Hayo yamebainika wakati wa kambi maalumu ya uchunguzi wa afya ya masikio na usikivu...
  5. I

    PostGE2025 Tanzania -UPR: Serikali yasema kuwa ripoti ya Jaji Chande haikuachiliwa kwa sababu ya ‘kulinda ushahidi’

    Akizungumza leo Novemba 05, 2026, wakati wa kutoa ripoti ya tathmini ya haki za binadamu Tanzania, katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega, ameeleza sababu ya ripoti ya uchunguzi matukio ya Oktoba 29 kutokuwekwa wazi ni ili kulinda...
  6. I

    PostGE2025 Ulega: Matukio ya Oktoba 29, 2025 yalisikitisha sana na Serikali iliendelea kujidhatiti katika kubaini ukweli na kuhakikisha uwajibikaji

    Waziri wa Katiba na Sheria, Abdalla Ulega, amesema matukio yaliyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, yalikuwa ya kusikitisha, huku akisisitiza kuwa Serikali ya Tanzania itahakikisha kunakuwa na uwajibikaji kuhusu matukio hayo. Ulega ameyasema hayo leo, Novemba 5, 2026, mjini...
  7. I

    UPR -Tanzania : Serikali haiwalazimishi kupima kinguvu wanaodaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Waziri wa Katiba na Sheria, Abdalla Ulega, amesema Tanzania inaendelea kushikilia msimamo wake kuhusu pendekezo la kutambua mahusiano ya jinsia moja, akisisitiza kuwa msimamo huo ni sehemu ya misingi na taratibu za kisheria na kijamii za nchi. Ulega ameyasema hayo leo, Novemba 5, 2026, mjini...
  8. I

    Tuzo za Ubora EAC 2026: FCC yaibuka kidedea “Taasisi Bora ya Umma kwa utoaji huduma”

    Tume ya Ushindani (FCC) ya Tanzania imeibuka mshindi wa jumla katika kipengele cha Ubora wa Huduma kwa Taasisi za Umma katika Tuzo za Ubora za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Regional Quality Awards 2026), zilizofanyika usiku wa tarehe 2 Novemba 2026 katika Hoteli ya Movenpick jijini Kigali...
  9. I

    Balozi Mulamula: Mkutano wa Wabunge Wanawake ni chachu ya ushiriki wa wanawake katika kuleta amani na usalama Kanda ya Maziwa Makuu

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Afrika (AU) kuhusu Wanawake, Amani na Usalama, Balozi Liberata Mulamula ambaye ni mwanaplomasia wa muda mrefu amesema Mkutano wa Kimataifa wa Wabunge Wanawake wa Ukanda wa Maziwa Makuu (FP-ICGLR) ni jukwaamuhimu la kuhamasisha wanawake kushiriki katika juhudi za kuleta...
  10. I

    NECTA: Ufaulu darasa la saba waongeza kutoka asilimia 85.22 mwaka 2026 kutoka asilimia 81.80

    Takwimu za Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) zinaonesha ufaulu wa jumla umefikia asilimia 85.22 mwaka 2026 kutoka asilimia 81.80 mwaka jana, sawa na ongezeko la asilimia 3.42. Akitangaza matokeo hayo leo Novemba 3,2026, Katibu Mtendaji wa Necta, Profesa Said Mohamed, amesema watahiniwa...
  11. I

    Dar es Salaam inakua viwanja vinapotea: Watoto na Vijana watacheza wapi?

    Makala maalumu “Lakini hofu yangu ni kwa wajukuu zetu. Watacheza wapi?” Hilo ni swali la mkazi mmoja wa Kinondoni anayeshuhudia eneo ambalo kwa zaidi ya miongo mitatu lilikuwa sehemu ya michezo, mikutano na shughuli za kijamii likibadilika matumizi. Swali lake linaakisi wasiwasi unaozidi...
  12. I

    Ndejembi: Tusiogope kutumia “talent” tulizonazo nje ya ofisi za Serikali

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ametoa wito kwa wizara na baadhi ya taasisi za Serikali kuwatumia watu wenye vipaji na ujuzi mbalimbali waliopo nje ya Serikali, hususan vijana wanaofanya vizuri katika maeneo yao ya kazi (field), kwa kuwapa nafasi ya kutoa...
  13. I

    Dkt. Mwigulu:Wakuu wa mikoa mkaimarishe ulinzi kwenye maeneo yenye tishio la uvunjifu wa amani kabla ya madhara kujitokeza

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mwigulu Nchemba amewaagiza Wakuu wa Mikoa kuhakikisha ulinzi unaimarishwa katika maeneo yote ambayo kunakuwa na tahadhari ya uwezekano wa uvunjifu wa amani kutokana na migogoro ya wakulima na wafugaji ili wananchi waweze kuishi kwa amani. Dkt...
  14. I

    Padre Mkwizu: Ni wangapi ambao pengine leo, wamepoteza wazazi wao kwa sababu ya amri yako wewe mwenye nguvu? Tusiwaonee watu

    Katibu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Same, Padre Jonathan Mkwizu, amewataka waumini wa Kanisa Katoliki na jamii kwa ujumla kutumia madaraka na nafasi walizonazo kuwasaidia watu wenye uhitaji badala ya kuwatesa, kuwaonea na kusababisha mateso kwa wengine. Padre Mkwizu ametoa wito huo wakati wa...
Back
Top Bottom