Recent content by incharge

  1. I

    Tatizo nini wakuu mchezaji wetu mkubwa akaona awajengee wananchi msikiti na sio mradi wa kiuchumi?

    makasiriko kwa hela za mwenzako huo ni zaidi ya uchawi tafuta zako bwana sio kulialia
  2. I

    Tatizo nini wakuu mchezaji wetu mkubwa akaona awajengee wananchi msikiti na sio mradi wa kiuchumi?

    Kumpangia mwanaume jinsi ya kutumia hela zake huo pia ni umama
  3. I

    Ukame na kuadimika Kwa maji nchini kumeongezeka sana alipoingia Waziri Aweso, tatizo ni Nini?

    Ukiangalia kwa jicho la tatu swala la maji duniani kote limekuwa tatizo kutokana na climatic changes ,cha msingi aweso aangalie njia mbadala za kuhakikisha maji yanapatikana maana hakuna maisha bila ya maji ikiwemo uvunaji wa maji kipindi cha mvua nyingi na kuyatunza ili yatumike kipindi cha...
  4. I

    Baadhi ya watu waliousaka urais kwa hali na mali ila hawakufanikiwa

    Nadhani ni ukaidi wako tu, kwa kifupi ukiona jambo limekupata ujue mungu kapanga, ila wakati mwingine mungu anafanya jambo likupate ili labda likubadilishe mwenendo wako mbaya na kadhalika, unatakiwa uweke bidii ,ufanye matendo mema, na umtangulize mungu
  5. I

    Baadhi ya watu waliousaka urais kwa hali na mali ila hawakufanikiwa

    NItafurahi sana kama ukiniita foolish kwa kumuamini mungu, ila nakukumbusha tu huyu huyu mungu alishatufundisha kuhusu chakula, ndoa, na mfumo mzima wa maisha siyo kila kitu uige kwa mzungu Na kwenda motoni au peponi ni kiburi chako na matendo yako ndio yataamua
  6. I

    Baadhi ya watu waliousaka urais kwa hali na mali ila hawakufanikiwa

    Kusali ni wajibu aliyotupa mungu ,dua na maombi tunaamini hubadilisha ulichokadiriwa
  7. I

    Baadhi ya watu waliousaka urais kwa hali na mali ila hawakufanikiwa

    Mapokeo ni tofauti ila misingi mikuu ya maisha na nini dhambi na nini siyo dhambi ni hiyo hiyo, ndio maana hata kwenye ukristo au uislamu kuna madhehebu, ndio maana hata darasani somo anaweza kufundisha mwalimu mmoja lakini utakuta kuna wa kwanza hadi wa mwisho kwenye mtihani
  8. I

    Mtoto wake alifariki, alipoenda msibani akafutwa kazi

    Ukienda makampuni makubwa yenye HR wa viwango ndio utajua nachosema Ndio maana unashangaa shirika la umeme uganda lina HR mtanzania ameajiriwa kama expat ,kuna watu wanajua kazi zao, nenda makampuni kama tigo au vodqcom ukaone tofquti ya hr na afisa rasilimali watu
  9. I

    Baadhi ya watu waliousaka urais kwa hali na mali ila hawakufanikiwa

    hata binaadamu kugongwa na gari ni mpango wa mungu, wewe kuwa na wazazi hao uliyokuwa nao ni mpango wa mungu, kifo chako ni mpango wa mungu Kwa kifupi heri na shari zote hazitokupata mpaka mungu apange
  10. I

    Baadhi ya watu waliousaka urais kwa hali na mali ila hawakufanikiwa

    Hata jambazi huwa anamuomba mungu anapoenda kuiba, mungu ni mmoja na anawaruzuku hata wasiomuomba na hana vinyongo kama binaadamu, yeye ndio anacontrol hii dunia yote akiamua jambo hakuna wa kuzuia, angalia kilichowakuta netanyahu na trump walikuwa na all the resources za kufanya regime change...
  11. I

    Mtoto wake alifariki, alipoenda msibani akafutwa kazi

    Nachoona hapo ni mazingira duni ya kazi ma HR wengi wa kitanzania hawajui kazi zao ,instead ya kuweka mazingirq mazuri ya kazi kwa wafanyakazi huwa wanaegemea moja kwa moja kwa muajiri, lack of proffessionalism na exposure
  12. I

    Baadhi ya watu waliousaka urais kwa hali na mali ila hawakufanikiwa

    Tukubali tu uraisi unatoka kwa mungu ukiangalia algores case, samia case magufuli case, na lowasa case Hata uhangaike vipi kama mungu hajapanga uwe raisi hutokuwa
  13. I

    Putin aamua kuteta na Wayahudi kwa siri!!

    Waisrael wa buza akili matope
  14. I

    Putin aamua kuteta na Wayahudi kwa siri!!

    Ndio vijana mnaotegemea kuliokoa hili taifa akili zao ndio zipo hivi aise kazi ipo
  15. I

    Putin aamua kuteta na Wayahudi kwa siri!!

    Ujinga ni upofu
Back
Top Bottom