Recent content by ilikirumuni

  1. I

    PostGE2025 Kundi la kwanza kuandamana Dar Okt 29, 2025, walikuwa chama tawala. Namwelewa A. Migiro anapoomba chama kuwajibika

    Sasa watakuwa wajinga,Nchimbi utetezi wake mdogo atasema nilizunguka na rais nchi nzima kuomba kura na rais anajua sasa mimi nivuruge uchaguzi ili iwe vipi kwa sababu uchaguzi ungeshindikana hata mimi nisingekuwa rais,
  2. I

    Siku Cocacola ilipogundua kwamba haimiliki Coca Cola

    Siku hizi nimejikuta napenda Pepsi zaidi ya coca,lakini nikiwa kwenye kamati za sherehe kama mwanakamati siwezi kupendekeza kwa vinywaji baridi tuweke Pepsi
  3. I

    Msaada: Mtoto wa Form V kuhamia Benjamin Mkapa High School

    Cheza na mkuu wa Benjamin Mkapa akikubali mtoto anahamishwa kwa mfumo Prem no utakachotakiwa kufanya kama utakubaliwa Benjamin ni kupata no ya Head Master wa kule ili awasiliane na mwenzake kumhamisha mtoto kwenye mfumo.Hakikisha kwanza unapata nafasi Benjamen
  4. I

    Wale tuliowahi kucheza chandimu tukutane hapa tujuane

    Kipindi tupo likizo mwezi wa sita au December mnaanza kucheza mida ya saa tatu mpaka pale chakula cha mchana mnapoitwa kwenda kula mmojammoja mkirudi huko mnalianzisha tena
  5. I

    Tanganyika vs Tanzania

    Tanganyika
  6. I

    Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

    Dah sijui Rais atakayekuja ataanzia wapi
  7. I

    PostGE2025 Dotto Biteko atemwa rasmi na Rais Samia

    Ndumbaro na Jenista wametemwa kwa sababu makamu ni mgoni,hivyo madam president anaogopa kuhujumiwa na ngoni empire
  8. I

    PostGE2025 Dotto Biteko atemwa rasmi na Rais Samia

    Ndumbaro na Jenista wametemwa kwa sababu makamu ni mgoni,hivyo madam president anaogopa kuhujumiwa na ngoni empire
  9. I

    GE2025 Hiki ndio kilifanywa na wasimamizi wa uchaguzi ili kupata 98% ya kura za Samia

    Takwimu za kura zilitengenezwa kwenye ofisi za halmashauri siku kabla ya uchaguzi,walikuwa wanachukua mfano kata fulani wamejiandikisha watu fulani,takwimu zilitengenezwa haswa kwenye ngazi ya urais
Back
Top Bottom