Recent content by Ihayabuyaga

  1. Ihayabuyaga

    Hadi kifo sitawai oa wala kuwa na mchumba

    ila KUDINYA utadinya sio? ama ndo wataka kuikata ubaki na kisiki?
  2. Ihayabuyaga

    Niliwahi kuachwa kisa kumtania mchumba

    Laiti ungejua wanawake wenye matege walivyo watamu ungejisifu hata kama hunayo😃😃😃
  3. Ihayabuyaga

    Gharama ya usafiri kupitia ATCL kuanzia KIA mpaka Dar ni laki 8+ haya ni maajabu

    hizo akili unazipata wapi mwanawane? Hakuna maono ya hivyo kwa sasa.
  4. Ihayabuyaga

    Unadhani ni kwanini Tundu Lisu hakutaka kabisa mwanasheria mkuu wa Chadema awe miongoni mwa mashahidi wake muhimu?

    Inaonekana humjui Nshala tangu wakiwa na Lisu pale LEAT. Rudi darasani bwa sheeeh
  5. Ihayabuyaga

    Dawa ya Tezi dume

    Hujasema hiyo BPH ina ukubwa gani ama hali ipi (anakojoa damu ama)ili usaidike? Inatibika kwa chakula na mimea tiba. Nina ushuhuda so wahi kabla haijaheuka kuwa saratani
  6. Ihayabuyaga

    Kuanzisha Community Based Organisation (CBO)

    Baada ya kuandaa katiba na muhtasari andaa CV za viongozi na picha zao kisha nenda kwa afisa maendeleo ya jamii wa kata.atakusainia documents zako na kukupeleka kwa msajili wa wilaya/halmashauri
  7. Ihayabuyaga

    Namna ya kuuza hati fungani ya BOT

    Kachukue mkopo bank kwa kutumia hiyo certificate ya bonds
  8. Ihayabuyaga

    Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

    Deception yuko wapi?
Back
Top Bottom