Recent content by IGWE

  1. IGWE

    Wananchi wakutana kijiweni na Civilian-Coin.

    Kisandu again!
  2. IGWE

    Yesu alikuwa wapi na anafanya nini kwa miaka 30 ya ujana wake ?

    kuna watu wanasema alikuwa India/Kashmir huko kupata elimu ya utambuzi.
  3. IGWE

    Historia ya Mzee Joseph Mfugale kutoka kijijini Iringa na kujenga Peacock Hotel jijini Dar es Salaam

    Uchunguzi wako usimruke Mzee Mengi-ni lazima awemo kwenye report yako, Nje ya hapo utakuwa uchunguzi feki mkuu
  4. IGWE

    Usiwe Mtumwa wa Wema — Jifunze Kuweka Mipaka

    Kama huna roho hiyo utashindwa mkuu-..take it from me.
  5. IGWE

    Usiwe Mtumwa wa Wema — Jifunze Kuweka Mipaka

    Tatizo letu wengine tumeumbwa kusaidia wengine. NB:..mimi huwa nasaidia sana wengine(najisikia amani sana nikwa sehemu ya furaha ya wengine)-ila mimisipendi kabisa kusaidia. Hata nikiwa bar nikiona dalili ya kupewa offer ya bia naondoka-..sipendi kabisa kusaidiwa ila mimi ni mtoaji sana.
  6. IGWE

    HIVI SOKA ALIFANYA NINI MPAKA AKAPOTEZWA?

    Watu wenye roho ya mpinga Kristo huwaga hawana sababu wakiamua kumwaga damu mkuu
  7. IGWE

    CHADEMA nguvu kubwa sana ya Watanzania iko nyuma yenu msijemkarudia makosa mliyofanya chini ya mwenyekiti wenu aliyepita

    Mbowe kashambuliwa lini na Chadema mkuu? Punguza uongo wa kusingizia watu
  8. IGWE

    Mwaipopo kuruka hewani kuwakabili viongozi wa dini

    Homeboy hana uwezzo wa ku-counter attack hoja za Wakatoliki, RC ni taasisi na nusu-sio wala ubwabwa wale mkuu
  9. IGWE

    KERO Barabara za ndani tabata imekuwa kero isiyoisha

    Tabata ni sehemu nzuri sana kuishi na familia kwa sisi wenye vipato vya kati. Karibu Tabata wakuu
  10. IGWE

    Nina Milioni 3 ni bora ninunue hisa za CRDB au niende Chalinze nikanunue kiwanja?

    KWANI USIFANYE WEWE HIYO BIASHARA MKUU?? Just curious to know!
  11. IGWE

    Mwanahalisi: Ya Lissu yavuja; agoma kutumika kama kete ya maridhiano

    Lissu hana hatia-aachiwe huru bila masharti yoyote.
Back
Top Bottom