Recent content by Idimulwa

  1. Idimulwa

    Heche unaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote itafika 2030 hamna cha maridhiano

    Tapeli tu huyo wa Kisiasa..Alikuwa Team Lowassa akahamia naye UKAWA na hajulikani tena ni lini alirudi CCM.
  2. Idimulwa

    PostGE2025 Hivi kuna sababu na maelezo gani ya msingi kuhalalisha mauaji ya watoto OCT 29?

    Kilichotokea ni kitu cha kutengenezwa tu. ...( Nukuu- Yenye utata mwingi na ishara ya kufeli kwa Mfumo wa kuendesha Nchi!Wakati linatengenezwa Serikali Tukutu ilikuwa wapi na si ndiyo ilisema- Hakutakuwa na Nywinywinywi -!!??)
  3. Idimulwa

    Serikali ya Tanzania imetetea uhuru wa mahakama kufuatia hukumu ya Tundu lissu

    Ugonjwa unaoitafuna nakwenda kuiangamiza kabisa CCM huu.Hata Wananchi wamewaweka huko kwamba hawana lolote wanalojua.Hii yote ni kwa Sababu ya Kiburi cha Madaraka. Bado wako kwenye Zama za - Zidumu Fikra za Mwenyekiti wa CCM -!!!Na kwao Adui wa Nchi hii ni- CHADEMA-.
  4. Idimulwa

    Kuna kikao cha siri cha wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama usiku huu

    Mwaipaya wanaye hawa wahuni..Kule Kenya Madam Karua anakaba sana Mahakamani
  5. Idimulwa

    Kuna kikao cha siri cha wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama usiku huu

    Hapo Ishu Ni Twaha Mwaipaya ..wanaye tayari..Mipango ya Kummaliza au wamrejeshe Kenya tena au la...
  6. Idimulwa

    Kuna kikao cha siri cha wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama usiku huu

    Mafwele Mshamba wa Ujasusi- Uchwara..huyo watamuua tu hata iweje .maana siri za uovu zote anazo..
  7. Idimulwa

    Ajira za polisi zinatoka lini mbona kama mwaka huu hakuna?

    Acha zako Utakufa pia na uzao wako wote.By the way:No Reforms No Election.
  8. Idimulwa

    Ajira za polisi zinatoka lini mbona kama mwaka huu hakuna?

    Omba sana sarakasi za kuifuta CHADEMA zifeli..Ikifutwa CHADEMA ndiyo Basi tena ..Nchi haitahitaji Polisi CCM na hata waliopo watatelekezwa Mpaka Unifomu wawe wanashona viraka kama enzi za Mwinyi Mpaka wakaja kuokolewa na Upepo wa Lyatonga wa NCCR- Kwenye awamu ya Mkapa.UKAWA mwezi mmoja kabla...
  9. Idimulwa

    Tukio kubwa sana la burudani linaandaliwa kuzima upepo wa Lissu

    Mwanza Pa Solid Sana Kwa CCM..Hata wakichinja Ng' ombe labda wafuate watu Pembezoni Ngudu na Malya huko kuelekea Mwamashimba wawajaze kwenye Maroli
Back
Top Bottom