Usipotoshe bro. Mie na download software na movies ambazo kwa namna moja ama nyingine ningelazimika kuzinunua. Kwa mfano kuna software inaitwa FL Studio, kwa ajili ya music production, premius version subscription ni dola 400, wakati telegram naipata bure pamoja na plugins zake zote.
Hao unaowashauri sijui kama wanakuzingatia, ni mpaka liwakute jambo. Alisema Lissu, wakimaliza ku deal na wapinzani watawarudia wa kwao wenyewe, ndio hili linaloendelea sasa hivi
Kaka wa miaka 45 analelewa na shemeji yake? Hana hata kibarua cha kubrashi viatu mjini ili aendeshe maisha? Bro USIOE huyo mwanadada, anakuja kumalizia alichokianzisha!
Chivayo hakuwa mshirikina, alikuwa mtakatisha fedha maarufu. Nyuma yake kuna majina makubwa sana, yakihusisha masuala ya silaha haramu, madini, madawa haramu, biashara ya binadamu nk. Kuna vyanzo kadhaa vya habari vimeandika kwa undani sana masuala ya utakatishaji pesa wa Chivayo na genge lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.