Recent content by idawa

  1. idawa

    Mchezo wote nauelewa, Mangi ni msafi

    Tatizo la Lema ni kuanza kuongea lugha moja na CCM..
  2. idawa

    Padri asalimisha silaha 4 zilizokuwa zikimilikiwa na kanisa katoliki la Ifakara

    Propaganda wa CCM wakiisikia hii wanaweza kuitumia vibaya....hasa nyakati hizi zenye mvutano wa kanisa na Serikali
  3. idawa

    (TETESI)-MACHAME FAILURE MISSION

    Kifupi mwamba angechelewa kidogo tu angetangulizwa yeye…
  4. idawa

    Taarifa ya Polisi ina mapungufu makubwa: Sakata la dereva wa serikali kutoa silaha na kumtishia dereva wa SATCO Dodoma

    Ndani ya Nchi yetu kwa sasa kupata taarifa za kweli toka serikalini imekuwa changamoto kubwa sana
  5. idawa

    Tatizo sio kwamba Watanzania wanataka vurugu Watanzania wanataka tu option ya kuchagua

    CCM walishafanya utafiti wakaona wakiruhusu hilo swala, mikoa na miji yote yenye ushawishi inaenda upinzani… hivyo hawafanyi kwa bahati mbaya.
  6. idawa

    Alikubamiza miezi nane gerezani, leo mmekuwa marafiki wa kufa na kuzikana

    Jamaa kwake siasa ni biashara, ana msemo wake maarufu hakuna Adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu
  7. idawa

    Kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11, 2026 yaahirishwa hadi Julai 6, 2026

    Hapa inaonyesha Lissu bado kashikilia bomba, hataki mambo ya kando
  8. idawa

    Uingereza wasalimu amri

    Ulaya kwa Urusi hawana jeuri sema ni viburi vya kipuuzi
  9. idawa

    Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe wakamatwa na vikosi vya Marekani

    Michezo ya wakubwa hiyo, unafikiri shinikizo la USA kwa Ukrane kukubali mpango wa amani ulioandaliwa na Urusi lilikuwa bure?. Urusi kaachiwa Ukren USA kabeba venezuela, wakubwa wanajua jinsi ya kugawana vifa
  10. idawa

    Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe wakamatwa na vikosi vya Marekani

    Michezo ya wakubwa hiyo, unafikiri shinikizo la Trump kwa Ukrane kukubali mpango wa amani ulioandaliwa na Urusi lilikuwa bure...Urusi kapewa Ukrane, USA kaachiwa venezuela.
  11. idawa

    Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro na mkewe wakamatwa na vikosi vya Marekani

    Michezo ya wakubwa hiyo, unafikiri shinikizo la Trump kwa Ukrane kukubali mpango wa amani ulioandaliwa na Urusi lilikuwa bure...Urusi kapewa Ukrane, USA kaachiwa venezuela
Back
Top Bottom