Recent content by Iceberg9

  1. Iceberg9

    Kiranga akikuuliza "Thibitisha Mungu yupo" muulize je, anaelewa "Mungu" ni kitu, mtu au jambo la namna gani?

    Chunguzeni wale wote wanaosema Mungu hayup utagundua anapitia tabu za kimaisha au ana stress, hapo hapo tunaambiwa Mungu wetu hakusema utakapo kuwa nae na kumtii sio kwamba mabaya hayatakuja hapana,Mungu yupo alikuwepo na atakuwepo,mabaya kwenye maisha yetu ndiyo sifa kuu ya Mungu maana huja...
  2. Iceberg9

    Kiranga akikuuliza "Thibitisha Mungu yupo" muulize je, anaelewa "Mungu" ni kitu, mtu au jambo la namna gani?

    Wanadamu wengi wakifeli maisha wanamsingizia Mungu na kumuona ana upendeleo na wakati matendo yako yalikuweka mbali na yeyee sasa ukifeli maisha ukiteseka acha kuaminisha na wengine Mungu hayupo,
  3. Iceberg9

    Dkt. Mwigulu: David Kafulila ni kiongozi kijana, msomi na ana-exposure

    Tangu hile video isambae sijui namuonaje🙄
  4. Iceberg9

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    😁😁😁😁😁
  5. Iceberg9

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Umeeleweka vizuri sana mkuu
  6. Iceberg9

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bora umedadavua tusije ingia mtegoni maana hizi kampuni hizi zipo kimaslai yao sana
  7. Iceberg9

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yeah kwa haya maelekezo ni sawa kabisa atalipwa
  8. Iceberg9

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwahiyo ukimpiga 150 utalipwa milion 132 na iliyobaki
  9. Iceberg9

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakidai wamecheleweshewa kulipq mfano hiyo tiketi alioshinda Taivana mpakq sasa bado hajalipwa
Back
Top Bottom