Recent content by Ibnabdillahi

  1. I

    Dk slaa amechakachua barua

    Hana hoja Slaa
  2. I

    GE2010 Profesa Lipumba: Kipi kichuguu na upi mlima?

    Profesa kaonyesha ukakamavu wakisiasa,CUF INA VITI 24 & CHADEMA 22 NANI MLIMA?, ILA SLAA NI MCHANGA KISIASA,BORA AGOMBEE UBUNGE 2
  3. I

    Haikuwa rahisi

    Aha kama kawa miji2 yenye kutekwa nakuhadaiwa na uwanamapinduzi,Umapinduzi wa kwanza uwe na mke n watoto then ndio uweze kuongoza nchi,Je Slaa kaoa au kabeba shangingi?,Tz hatupo tayari kuongozwa na sera YAKUCHAKACHUA WAKE ZA WATU?
  4. I

    Haikuwa rahisi

    Ushahidi wawazi kwamba CCM,nikweli wameongoza nchi vizuri,hadi Professor wa uchumi katekwa,mmh nadhani kuna kijicheo kaka Kikwete atampa Bwana Haki!
  5. I

    Haikuwa rahisi

    Kweli kikwete anatisha hadi lipumba kamteka!
  6. I

    Tuanze kuijenga Chadema

    Mbinu rahisi yakupata wafuasi,undeni makanisa kibao lakini nyanda za juu..ila sehemu za Coast mmefulia,vip mteueni Slaa awe mkuu wa makanisa maana hata kujijenga bado,Habari zinazochipuka ni kwamba Slaa anajuta kuliacha KANISA,MMH ETI TZ KWA YESU,SIRAHISI HATA KIDOGO
  7. I

    GE2010 Pole Dr.Slaa

    Nyanda zajuu wengi wapumbavu wa akili,vip nchi tuipeane kwa mtu anayetuhumu wenzake kwa ugaidi n hasira kibao,kama kweli yeye mkomavu kisiasa angehudhuria KARIMJEE N UHURU,Ucje ukaweza biashara ya rejareja yaani Bungeni then ukadhani kupewa nchi jambo rahisi,sasa SLAA Kakosa kote,hata Lipumba...
  8. I

    GE2010 SMS ya Maandamano nchi Nzima Ijumaa Imeanza

    Watu wakutoka nyanda za juu niwapumbavu wa akili,je vip mtu aitwe Dr. Then busara akanyimwe,je utamuita msomi?
  9. I

    Pamoja na yote, Dr. Slaa bado Atatinga Bungeni soon!

    Kama kweli Slaa kakomaa kisiasa hangethubutu kumnadi Kikwete kama gaidi na kuwakose heshma hata wazazi wake,Muungwana akiudhiwa hutabasamu,huyu ndio kiongozi,sio Slaa kutabasam hana ila majungu na fitna tu,je siasa nikutuka wazazi wamwenzako? Slaa atakuwa shoka kwa Hawara wake aliyemnadi Dar...
  10. I

    GE2010 Baraza jipya la mawaziri 2010/2015

    Mmh mnatafuta mbinu yakuundwa umoja wakitaifa,katu hatutengezi serikali hiyo,kama mmeshindwa biashara ya Jumla vip tuwashirikishe kugawa faida,kama kawaida aliyerudi bungeni ataikwaa wizara yake,ila wizara zenye ushawishi kwa vijana tutawapa vijana ie Mhesh January Makamba
  11. I

    GE2010 Kweli tarime kiboko!

    Kama kawaida tutawapelekea,kikosi maalum,mwanzo hawana mvuto wakitanzania,2nasifika na tabia ya ustaarabu,uraiya wao nina hatihati nao,baada ya Mheshimiwa kuapishwa,we have to do vatting kwa jimbo la Tarime,nahisi wakimbizi wanataka kuharibu jina letu
  12. I

    Nimwonavyo Dr. Slaa (Maoni yangu)

    Naam nashkuru umepata kaka,ni wazi SLAA Ahadi zake hazina msingi,mpaka sasa ana mda mrefu katika ubunge,je ameleta Mabadiliko gani Karatu,je ameondoa umaskini au kakuza kiriba tu na 1st lady wa msimo,Tanzania bado haijafikiwa kuongozwa na mhuni
  13. I

    Nimwonavyo Dr. Slaa (Maoni yangu)

    Aah Slaa ni nguvu ya SODA TU! ,hana lolote,kati ya SLAA n LIPUMBA Nani aliyetikisa katika wagombea waupinzani?
  14. I

    GE2010 Tamko la Dr.Slaa

    Upuuzi mtupu,wote hawa wataka kuibatiza Tz,hana hata sifa yakuwa kiongozi,vip aseme Kikwete ni Gaidi,je hamuoni kama Slaa anaonyesha mkono wakanisa,Tamko hili apeleke kanisani,ila yeye mwenyewe mzembe tu
Back
Top Bottom