Recent content by IAMswaggstatic

  1. IAMswaggstatic

    TCRA kwanini Efm Radio isiitwe tu Yanga FM?

    Sasa umelazimishwa kusikiliza hiyo redio aiseee!? Yaani unalalamika utafikiri ni chakula cha roho!
  2. IAMswaggstatic

    Paul Makonda: Hata ningepata sifuri kwenye masomo yangu, bado ningekuwa Mkuu wa Mkoa

    Hakuna uhusiano wa VYETI na UNGA. Hoja hapa ni jinai ya kughushi au kutumia vyeti vya MTU mwingine. Kama sio kweli ni suala LA yeye kuja na hivyo vyeti original na cheti cha kuzaliwa ili kuthibitisha uhalali wa jina lake.
  3. IAMswaggstatic

    Paul Makonda: Hata ningepata sifuri kwenye masomo yangu, bado ningekuwa Mkuu wa Mkoa

    Hoja siyo Zero.., hoja ni kughushi nyaraka za umma.., hoja ni kughushi.., Jinai.., hiyo "kufeli ni yenu huko Lumumba"..., maana kama ni "kufeli" tungeanza na Ole Sendeka ambaye hata Cheti cha Form Four hakipo..,hoja ya msingi ni kughushi, jinai.., Sidhani kama concern ya watu (mimi nikiwa kati...
  4. IAMswaggstatic

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    "USANII, MAIGIZO, POROJO ZA MAKONDA ZILIHARIBU ZOEZI HILI TANGU MWANZO, SIKUWAHI KUAMINI HARAKATI ZILE-MFU KAMWE" [emoji767]Martin Maranja Masese [MMM] ..., naomba sasa kuuliza maswali yangu baada ya "kelele" zote za kusema Makonda alikuwa anapambana vita dhidi ya wafanyabiashara wa dawa za...
  5. IAMswaggstatic

    Tundu Lissu: Makonda hana mamlaka anayojidai nayo ya kuhamisha watu

    Usitumie makalio katika kufikiri na kuelewa, kuna sehemu yoyote katika maandishi hayo, wameandika neno "madawa ya kulevya"!!? Au unasoma kinyumenyume !? Content ya maandishi hayo hayana mahusiano yoyote na maigizo ya Madawa ya kulevya.., [labda kama unasoma ukiwa na" Makonda Syndrome"
  6. IAMswaggstatic

    Tundu Lissu: Makonda hana mamlaka anayojidai nayo ya kuhamisha watu

    ".., Ninao uwezo wa kumfukuza mtu yoyote ndani ya mkoa wangu kwa masaa ninayotaka mimi na asiondoke na chochote zaidi Ya ndala alizovaa." - Paul Makonda, RC, Dar-es-salaam #My_Take .., Makonda amesema kuna watu hawajasoma sheria na wanapoga kelele tu kumkosoa yeye.., [inawezekana] ikawa ni...
  7. IAMswaggstatic

    Hili la TCRA, huu ni mwendelezo wa kuminya uhuru wa habari, uwazi na uwajibikaji wa watanzania

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezitaka Michuzi TV, AYO TV na Global TV kusitisha huduma zao za TV mtandaoni hadi hapo kanuni za usajili rasmi ambazo mamlaka hiyo imesema inaandaa kwa huduma hizo zitapokuwa tayari. #My_Take ..., niendelee kusema ukweli tu.., hii kitu imeniumiza sana...
  8. IAMswaggstatic

    Mange achoma moto kadi ya CCM live

    Anacholalamikia mange ni mambo ya kawaida tu. Anataka Bunge live. Bunge lenye meno. Hataki sheria kandamizi zinazopitishwa na bunge letu. Anataka huduma bora za jamii na uhuru wa kutoa mawazo kwa kila raia pamoja na vyombo huru vya habari
  9. IAMswaggstatic

    Mange achoma moto kadi ya CCM live

    Mange kama binadamu wengine anamiliki 'mapungufu' yake.., (maisha yake binafsi, na issue zingine mimi sihusiki nazo).., mimi natembelea sana ukurasa wake.., kwa sababu nyakati nyingine anasema ukweli mchungu ambao mimi nilipaswa kuusema (kutokana na mazingira yasiyo rafiki naukaushia,) lakini...
  10. IAMswaggstatic

    Mange achoma moto kadi ya CCM live

    Anaweza kuwa chizi kweli.. Maana awali alikuwa CCM (ukiwa huko unakuwa siyo timamu tena).., Lakini sasa.., niamini mimi.., huyu unaemuita chizi ana wafuasi zaidi ya 700,000 katika ukurasa wake wa Instagram, ana ushawishi katika mitandao ya kijamii kuliko wewe mtu ambaye ni mzima...
  11. IAMswaggstatic

    Unataka kudumu kwenye utumishi wako, endelea kujipendekeza ndio njia sahihi

    "IT'S DANGEROUS TO BE RIGHT WHEN THE GOVERNMENT IS WRONG ...," yaani kwa tafsiri isiyo rasmi sana ni; '.., ni hatari sana kuwa sahihi wakati serikali ikiwa haiko sahihi'..., maneno hayo yametamkwa na mwandishi, mwanahistoria na mwanafalsafa wa kifaransa ambaye alikuwa akiitwa François-Marie...
  12. IAMswaggstatic

    Afande Sele, amekimbia zambarau rasmi, sijui ataangukia kwenye mboga mboga (kijani kibichi)

    Seleman Msindi (Afande Sele), maarufu kwa jina la Baba Tunda, ametangaza rasmi 'kuchoropoka tunduni'.., ametangaza rasmi kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba 'KUANZIA SASA SIYO MWANACHAMA WA ACT-WAZALENDO TENA," Binafsi nikupongeze tu.., ingawa uamuzi wako umeuja kwa kuchelewa sana.., pia...
  13. IAMswaggstatic

    Tunahitaji Uhuru Wa Kujieleza, Uhuru Wa Maoni, Siyo Kumkamata Max!

    .., najiuliza maswali hapa, kabla Max (mkurugenzi mtendaji wa mtandao wa Jamii-forums) hajafikishwa kesho kizimbani.., kujibu tuhuma ambazo zinamkabili..., (kushindwa au kukataa kutoa taarifa za baadhi ya wateja wake/watumiaji wa mtandao wa jamii forums).., Ok...., hivi inaweza kutokea hii...
  14. IAMswaggstatic

    Waziri Mkuu aagiza kufanyika Uchunguzi juu ya miili 7 iliyokutwa mto Ruvu

    ".., miili iliyokotwa inahusishwa na masuala ya ugaidi..., naagiza uchunguzi mara moja..," - Kassim Majaliwa, Waziri mkuu wa Tanzania, 12-12-2016 #My_Take (i) Mheshimiwa waziri mkuu.., tayari umekwisha kuhitimisha kwamba 'miili ile iliyopatikana kule Mto Ruvu inahusishwa na ugaidi'...
Back
Top Bottom