Recent content by Huyu Ndiye

  1. H

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Upo sahihi sana ndugu, nina ushuhuda wa mtu, akiniruhusu, nitakuja kuutoa.
  2. H

    Naombeni mnambie hii ndoto inamaana gani?

    Una roho ya kurudishwa nyuma au kudumaa inakuandama. Mambo yako mengi katika maisha yatakuwa hayafiki mwisho, yanaishia njiani, hayakamiliki. Ukiweza kuvunja hicho kifungo, mambo yako ya maisha yatanyooka.
  3. H

    Sheikh asema Mashoga wengi ni akina Muddy, Ali, Abdallah etc

    Miaka ya mwishoni mwa 80 hadi mwanzoni mwa 90, kulikuwa na mtu mmoja anaitwa Aunty Mudy, alikuwa anavaa na kujiweka kikike. Alikuwa akipita barabarani, anasindikizwa kwa kuzomewa, mawe na kukimbizwa.
  4. H

    Nawahi kama jogoo, ndani sekunde kadhaa namaliza. Je naweza kupata dawa?

    Afanye mazoezi hasa ya cardio, jogging, kucheza soka nk.
  5. H

    Kelele kutoka kwenye makanisa yaliyo maeneo ya makazi ya watu ni uchafu wa mazingira

    Msijifiche kwenye kelele, inaonekana mna agenda ya siri, mkipigwa agenda ya udini hulo mbele ya safari, msishangae.
  6. H

    Janeth Rite: Fedha ambazo zimetumika kukopesha wasanii zingetumika kusaidia miradi ya maji

    Pesa za ruzuku za vyama vya siasa zitumike katika miradi ya barabara
  7. H

    Soon wanasuguana hapo juu

    Kiti kipi sasa?
  8. H

    Responded Chalamila: Sitaki kuona nyumba za Ibada kila mahali bila utaratibu maalumu

    Mzee, wewe ndio soma vizuri. Hoja imeanza kuharibika, uliposema Kanisa Katoliki au Kanisa la Anglikana ni Jengo
  9. H

    Responded Chalamila: Sitaki kuona nyumba za Ibada kila mahali bila utaratibu maalumu

    Kwenye ukiri wa Imani, Wanasema, 'Nasadiki kwa Kanisa Moja, Takatifu Katoliki la Mitume, Naungama Ubatizo Mmoja kwa maondoleo ya Dhambi. Naongojea na Ufufuko wa Wafu, na Uzima wa Milele Ijayo. Amina" Hapo linazungumzwa Jengo la Kanisa Katoliki? Najua umeshawahi kusikia neno Parokia.....
  10. H

    Court removes Bugweri Woman MP Stella Nankwanga over academic papers, declares runner-up winner

    It reminded me the last 30 years, when Augustino Mrema defeated Kihiyo for the case like that. The rulling led the nulification of the election result for Temeke District in Tanzania. This happened again in Uganda.
  11. H

    Wao hawakua na subira,wakamfuta kazi,anadai malipo asepe zake,wanamwambia asubiri.kwa hiyo wao pekee ndio wana haki ya kusubiriwa?

    Uharibifu wa mali hauna maans yoyote, mali zina bima hizo. Uharibifu unsouma ni ule unafanya, hauna mbadala.
  12. H

    Rostam: Tusipowajali wakandarasi wa ndani, tutaleta vi-kampuni vidogo vya Kichina kujenga barabara za vijijini

    Mchinal mkono wake umenyooka sana, haujajikunja wala kupindapinda. Faida za kifamilia kwanza, Taifa baadae.
Back
Top Bottom