Vyombo hivi siyo vile
Vya huku siyo kule
Vya jikoni siyo pale
Vyombo vile vya kulia!
Mkisha kula pamoja
Vitamu tena vya haja
Mtaosha kwa pamoja
Au aoshe mmoja?
Swali nawaulizeni.
M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji)
Kwa nyongeza tu kwa kile alichokisema Dr. Slaa hapo juu ni kuwa Konrad Adenauer Stiftung in foundation ya chama tawala cha Ujerumani cha CDU cha Angel Merkel na Friedrich Ebert Stiftung ni Foundation ya chama kikuu cha upinzani Ujerumani SPD kilichotawala chini ya Ma-chancelor kama Schroeder...
aende aka-check digestion system, yawezekana akawa na stage za mwanzo za kansa ( saratini ya utumbo) asione aibu kwani mficha maradhi kifo kitamfichua.
wewe umesema wamezidi kumzushia huyu kijana
Kiasi nadhani sasa tumpe Zitto nafasi . Kuna mtu hapa ana chuki binafsi na Zitto . Kila nikisoma ma badindiko yake ni maneno mazito dhidi ya Zitto. Zitto kesha ambiwa hapa JF , Zitto kesha ambiwa na ndugu zake , Zitto anaijua Tanzania na anajua...
ubunge wa bongo mtamu, huyo mama mpaka kulia ili wampe kura aendelee kula, kazi kweli hapa. Kwa upande wangu naona ni maneno tu, hizo pesa zinazorudishwa BOT mbona wahusika hawatajwi? Siasa ya bongo mizengwe tu! nawasilisha.
Huyu ni mke wa Nzota mtangazaji wa TBC1 the former Radio Tanzania, anaitwa Jamila Nzota alikuwa hakimu pale temeke, namuuhurumia sana hasa watoto wake kwani huyo mme sidhani kama ana muda nao.
Huyu ni mke wa Nzota mtangazaji wa TBC1 the former Radio Tanzania, alikuwa hakimu pale temeke, namuuhurumia sana hasa watoto wake kwani huyo mme sidhani kama ana muda nao.
Huyo kakobe kajipa uaskofu, mie namuona ni kama nabii wa uongo tu, haya ndo haya makanisa yalianzia uko USA na kuzagaa Afrika, na hUko TZ sasa kuwa na kanisa kushakuwa deal lakuwaibia watu na kujisafisha kwa kujiita mchungaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.