zipo kwa ajili yetu au kiini macho tu?kuzitangaza. tutestini nzali wadau.mshahara sio haba hata kidogo kama una kadegree kako ka mlimani computer science shavu hiloo.
HI FRIENDS>
HOPE MAMBO IPO POA BWAAANA.MM NAITWA HERBERTH TOLERATE.
USER NAME YANGU ITAKUWA htolerate.
nafurahi kujoin hii forum coz i hope iko na wakongwe kibao.na sisi serengeti boys tutapata mahali ya kujifunza kitu kwa benefit yetu na kwa society yetu.
big up kwa wote mliojoin forum hii...
hee mazee, mambo ni vipi?
Tell me nina kajiofisi kangu kadogo,i mean kaduka.nina register ya yenye orodha ya bidhaa zangu zote zilizopo.na mwisho wa siku kupitia kitabu changu cha risiti naanza kutoa nilivyouza kwenye stock yangu.pia nitajumlisha kujua jumla ya mauzo yangu,jumla ya madeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.