Recent content by Hormuzi

  1. Hormuzi

    INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    Mnatakiwa mjiongeze muwe na Ile Miche ya kuchipusha kutoka katika mti uliyokomaa hiyo Miche ya kupanda mbegu imeshapitwa na wakati Yani nikae miaka 5 nasubiri mchungwa uanze kuzaa
  2. Hormuzi

    Kata 10 za Temeke zinatakiwa na TPA ,DP World au wawekezaji wazawa wa bandari kavu?

    Serikali haijaweka wazi hili eneo anapewa muwekezaji gani ni vyema mkaweka wazi na kufanya hu mchakato uende Kwa haraka Maana eneo likishaingia katika mradi mkubwa kama huu wamiliki wanakuwa hawezi tena kuendeleza na kupanga mipango ya baadae maana wanakuwa kama wasafiri wanaosubiri ndege waruke...
  3. Hormuzi

    Waliofanya mauaji ya October 29 ni Samia kushirikiana na JK kwa nini mnazunguka sana

    Kama ungewataja na waliyopanga na kuratibu zile vurugu ingekuwa vizuri zaidi
  4. Hormuzi

    Mangungu: Sina wasiwasi kuwa Wanasimba watanichagua tena January 30

    Na utashangaa anashinda
  5. Hormuzi

    Hivi ni kwa nini biashara ya dada poa haionekani waziwazi mkoa wa Kilimanjaro (Moshi) kama mikoa mingine?

    Yawezekana haipo kabisa hiyo biashara Wachaga jinsi walivyowabahili wataenda kununua K ?
  6. Hormuzi

    wanaume tujadili

    Mbona kusaritiwa na demu ni Raha sana maana anakupa nafasi ya kutafuta chuma kingine Sasa Kwa nini upigane
  7. Hormuzi

    Bunge la Marekani laikosoa ripoti ya Chade, lataka Samia afikishwe ICC

    Kwanza wampeleke raisi wao Trump aliyeua watoto wa shule ya chekechea kule Irani
  8. Hormuzi

    Kituko Cha ajabu duniani: Kitambulisho Cha NIDA kua na picha ya mtu ambaye sio mwenye kitambulisho

    Kama ndio hivyo hapo wamekosea kwahiyo akiondoka madarakani unaenda kuchukua kingine huo ni uharibifu wa pesa za walipa kodi
  9. Hormuzi

    Rais Samia afanya kikao na Vyama vya Siasa Ikulu Dar

    Mbona wazee watupu?
Back
Top Bottom