nilitarajia shukrani kwa vijana ila kinyume chake , uzuri hii elimu inatembea na baraka ya aliekupa bila kumuheshimu kwa kujali mchango wake hupati hata utabiri uchi huwezi kufanikiwa ukiwa na shaka tu basi umeharibi jambo lenyewe na hata kwako nakwambia shaka yamgu imekuharibia utapata majubu...
Habari ndugu zangu
Nimepokea maombi mengi ya kutoa elimu ya kuweza kujua ni timu gani itashinda katika mechi. kama mfano wa mechi za jana huu
Nitajaribu kueleza taratibu hatua kwa hatua ili munielewe kirahisi
Ramli ya mechi ina misingi yake ambayo ni
1. Swali
2. Mfumo
Tunaposema SWALI ni kile...
Je umewahi kujiuliza kwanini kuna baadhi ya watu ni wapambanaji na ni wahangaikaji katika maisha na hawakosei mahala katika mapambano yao ila hawafanikiwi siku zote wanakua watu wa chini, ila kuna wengine ni wavivu na wasiopenda kujishughulisha ila wanamaisha mazuri na hawakosi wanachohitaji...
elewa tatizo lako vizuri na ulieleze vizuri na uwe na uhakika mtoa huduma sio msaka tonge mana anaweza kukuuzia hata shubiri alimradi apate pesa yako aelewe tatizo lako vizuri akupe dawa inayoendana na tatizo lako
AINA ZA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME
Kwa bahati mbaya, wanaume wengi hukosa tiba sahihi za nguvu za kiume kwa kushindwa kutambua tatizo husika na dawa wanazopewa zinatibu tatizo gani.
Zifuatazo ni baadhi ya matatizo yanayohusishwa na nguvu za kiume:
Kukosa uwezo wa kuendelea baada ya bao la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.