Recent content by hishengoma evid

  1. H

    Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

    Kitu gani kinapelekea kucheza kwa macho asa upande wa chini. Mm nimemaliza mwezi jicho la kushoto lina chenza upande wa chini na kichwa kinakuwa kizito.wakuu naombeni msaada wenu
  2. H

    Jf doctor msaada tafadhali

    Poleni na kazi Naomba kusaidiwa kitu gani kinafanya macho kucheza hususani upande wa chinii???
  3. H

    Medical laboratory

    nirudie cozi kivipi muheshimiwaaa
  4. H

    Medical laboratory

    eti candidate number na nacte nacte registration number wakiwa wanapanga matokeo mfanoo ya level 5 au level6 .IPI number uwa muhimu ambayo ukihikosea kuandika inaweza Ku ku cost ???????
  5. H

    Medical laboratory

    sawa mnakaribishwa kwa level zote ata wafanyakazi kama wapoo
  6. H

    Medical laboratory

    Mnakaribishwaaaa sanaaa mwenye mawazooo, maswali,na tusaidianeee kwa kila kitu kuhusu medical laboratory science
  7. H

    Medical laboratory

    Mwenye mawazoo kuhusu medical laboratory science
Back
Top Bottom