Recent content by hewizet

  1. hewizet

    Sinoray SR CK125 zipoje?

    Niliwahi kusikia shock absorber za mbele ni mawe hivyo zinaumiza sana mabega au mikono kwa ujumla, zinanesa huku zinakuumiza maana sio soft
  2. hewizet

    Yanga na Manqoba imeisha hiyooo

    Hawatapata Kocha kama Yule walitakiwa mashabiki wamlinde kwa wivu mkubwa, viongozi hawaitakii mema yanga! Adios Kocha la Makombe!
  3. hewizet

    Mimi nimesema kuna mtu atakufa tu, hata kama anajifanya yuko imara

    Unaweza kukuta ni mtu ameku hotspot ndo ukaandika hivi!
  4. hewizet

    Ikikulazimu kununua gari ya Umeme (EV) used kutoka Japan, hizi hapa za kuzitupia jicho.

    Nadhani muuliza swali alimaanisha ile pin au connector inayoingia kwenye charging port ya gari zinafanana kwa gari zote kwamba nikifika charging station katoka mtu wa tesla naingia nissan leaf yangu nacharge tu fresh bila kufanya mabadiliko yoyote yale kwenye ile charger inayowekwa kwenye gari...
  5. hewizet

    Maandalizi ya refinery ya mafuta yaanza Chongoleani, Tanga

    Ivi Kenye Crude oil ataitoa uganda huko huko au inakuaje kama na sisi tukiwa na iyo refinery ya "mashemeji"
  6. hewizet

    Balile: Oktoba 29 Waandishi tuliwatafuta watu wa kuwahoji, Barabara zilikuwa Nyeupe, Wao walikuwa wapi?

    Kuna siku huyu bwana atapigwa na kitu kizito atahariri habari akiwa analia!
  7. hewizet

    Tabora tunataka RC Muislam sasa

    Kuchinja hamtaki tena??
  8. hewizet

    Serikali yatoa kauli kuhusu Mwekezaji Tim Draper kutangaza kukiuza Kisiwa cha Lupita kilichopo Ziwa Tanganyika

    Wnauzaga kimya kimya yakibumbuluka yanakuja na karatasi la ufafanuzi
  9. hewizet

    Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

    Kwani walimvua uanachama lini tena??!
  10. hewizet

    Hamza Johari: Kikatiba, nafasi ya Nchimbi ilikoma baada ya kuvuliwa uanachama CCM

    Mwanasheria Mkuu ndio Anaitwa Hamza Imagine!
Back
Top Bottom