Recent content by hewamkaa

  1. hewamkaa

    Ni Jumamosi nyingine, siku nyingine wanaume wapumbavu kwa gharama wanaoa wanawake waliotumika

    Akili zako mbovu. Hakuna K inaonyeshaga "miss call". Hata wewe kama hujaoa, utaangukia huko huko
  2. hewamkaa

    Waliotaka kuvuruga mkutano wa Chadema Singida wadhibitiwa

    CHADEMA wametegwa wakategeka. Kitakachofata ni kupigwa marufuku mikutano ya CHADEMA.
  3. hewamkaa

    PreGE2025 Kosa kubwa la CHADEMA: wanadhani bila wao hakuna upinzani

    Haki ya Mungu, CHADEMA wametegwa wakategeka.
  4. hewamkaa

    TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

    RIP mkurugenzi. Mojawapo ya makosa ya madereva wa Serikali, ni kudhani kuwa, wakishawasha vile vitaa na vimulimuli inatosha inatosha kumanouvre bila kujali watumiaji wengine. Na kwamba mwendokasi wao watapishwa na kila mtu. RIP dereva
  5. hewamkaa

    PreGE2025 Silaha hii wanaitumia CCM dhidi ya upinzani na imewapa ushindi 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, 2020 na mwaka huu 2025 wanakwenda kuitumia tena

    Huku kwetu Mongolandege, Ukonga, mabalozi wa CCM wanaorodhesha watu na namba zao za kadi kupigia kura, pamoja na namba za simu. Wanasema wametumwa na Mbunge Slaa
  6. hewamkaa

    Kupiga kura katika jamii ambazo zinagombania madaraka

    Umeshataja impact ya uchaguzi wetu sasa unachotaka ni nini
  7. hewamkaa

    CHADEMA inahitaji mabadiliko ila sio kwa mtu kama Lissu

    Je, Serikali isipotaka kuongea mtaifanyaje?
  8. hewamkaa

    PreGE2025 CHADEMA wamestuka wakiwa tayari wamevuana nguo, ni uongo kuamini watabaki imara

    Lisu ni majungu tu. Ni mtaalamu wa kuvua watu nguo kwa sana. Mbaya zaidi akamshirikisha nabii Lema.
  9. hewamkaa

    Maombi Maalum kwa Uchaguzi wa CHADEMA.

    Ombea bifu alilonalo Lema kwa Mbowe. Tutake tusitake, tukubali tusikubali, hasira aliyonayo Lema kwa Mbowe ni zaidi ya mambo ya siasa. Kuna jambo limejificha. Na Pindi Mbowe akiibuka kidedea, tutaanza kusikia hata siri za ndani. Lema si bure. Kuna jambo ambalo hajapenda kulifunua. Na yaonekana...
Back
Top Bottom