Jamani Hivi watanzania Tunachukuliwaje na hawa wanasiasa????
Plain articles za kujikosha tu utadhani hiyo website walitengeneza wao!! Isingekwepo??? walijipangaje???
Wadau naona bora kungekuwa na seven wonders of All time. Where voting ingeendelea kwa vizazi kwaa vizazi. hii ingekuwa...
Can you Imagine this is the only available results????
JK hakukosea alivyosema kwamba uchakachuaji utakua kwenye kujumlisha.
He will have to be responsible for the delay.
Watu tunakua kwenye stress utafikiri tumegombania Udiwani, Kulala Problem Kufanya kazi haiwezekani kutwa tunawaza...
rai kwa watanzania:
nchi ina heshima na sifa ya kufanya chaguzi kwa amani.
unguja pemba mambo shwaari kabisa.
Hesima idumiswe.
baada ya matokeo kutoka watu waheshimu matokeo. Fursa ya kuiba ni ndogo ila mpaka uwe na maarifa makubwa sana.
watu wajitokeze mchague nani awe diwani.
Iije...
Hivi wakati Obama anatoa Speech wakati akiwa mgombe Kikwete hakua anaangalia ili apate strategies za kutumia??
Swala la muda mpaka akumbushwe??
Aisee aibu sana muda mwingi anachakachua point tu badala ya kujibu short and clear and create room for more questions ili aweze kujibu madukuduku ya...
Kisha anakiri eti kuna watu wachache walikua wana mtafaruku wa kimaslahi katika hili swala. Je amelimalizaje hilo swala??? Aliwachekea tu kisha akabadili mfumo??
Weekness kubwa sana kwenye management.
Kisha anajifanya anaongea na kigugumizi pozi la nini kama point hamna hamna tu!!
eti uwekezaji kufungua bar makaburini??? This is a joke ndio maana hajui kwanini tanzania ni maskini.
Im often asked how social networks can be used for practical business purposes. While convincing people that LinkedIn is a good professional tool is not hard, many folks are not using Facebook for anything other than communicating with friends or playing games, and are not using Twitter at all...
Wadau waliopitia mambo ya kilimo sera za kilimo kwanza kwa undani Naombeni msaada kujua kama swala la kuwaelimisha wakulima wa kibongo juu ya greenHouses lipo na limepewa nafasi gani???
Ndugu zetu hapo kenya wan huyu supplier Welcome to Amiran Kenya Ltd wa green houses na kuna ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.