Recent content by Hekima ni Mwalimu

  1. Hekima ni Mwalimu

    Wanawake hivi wanashida gani? Anaonyesha dalili zote kuwa anakupenda Ila ukimtongoza anakukataa!

    Nilijua hunikuta mimi tu , kumbe tupo wengi 😂😂😂
  2. Hekima ni Mwalimu

    Ipi hasara ya mwanaume kuzaa watoto halafu akamuachia mwanamke kulea mwenyewe?

    Kupitia swali lako tu , nimepima.uwezo wako wa akili . Una safari ndefu sana.
  3. Hekima ni Mwalimu

    Mimi ni mkiristo lakini nimefanya utafiti WANGU na kuhitimisha kuwa Isaka na Yakobo mwane walikuwa Waislamu

    Kwa nini sasa waislamu wakitaka kupona wanaenda kuombewa kanisani. Wewe bado una safari ndefu sana.
  4. Hekima ni Mwalimu

    Nimeoa mwanamke ana mtoto - leo naomba niwaambie ukweli mchungu wanaume wengi hatusemi

    Kila mwanaume ambaye bado hajaoa anacho cha kujifunza.
  5. Hekima ni Mwalimu

    Uthibitisho wa maisha baada ya kifo. Hawa watu walikufa, wakazaliwa tena, kisha wakayakumbuka maisha yao yaliyopita

    Je ,hiyo imetokea tu huko au watanzania nao huwa wanazaliwa mara ya pili sema ,uwezo wao wakutunza.kumbukumbu ni mdago
  6. Hekima ni Mwalimu

    Salumu Una miaka 27, unabanana na watoto chumba kimoja

    Heri yako wewe uliye pambwa na Mungu kwa maana amekuvika fahari. Salumu siyo kwamba hataki kufanikiwa ni kwamba hana nguvu za kutosha kama ufahamu, ufahamu fedha & elimu ya uwekezaji ndiyo maana yupo jinsi alivyo.
  7. Hekima ni Mwalimu

    Natafuta ajira nimesoma Sociology

    Nitafute Whatsapp kwa namba hizi 0757 148458 Nina group ambalo daily na post matangazo ya kazi .
  8. Hekima ni Mwalimu

    Hiki kilichoandikwa ni nini, wakuu? Nimetokwa na macho mithili ya Zongobinyo mjue!

    Namba 9 ni mwanaume imara anaye itwa adamu. Ambaye amefungwa kwa wanawake wawili ambao ni mwajuma & mariamu baada ya kuwaoa Maisha yake hayatakuwa sawa na hatakuwa na akili timamu kama mlivyo ona namba 9 kichwa chake akijakaa sawa kwenye mstali wa mwisho then maisha yake yatakuwa ya taabu...
  9. Hekima ni Mwalimu

    Terry Bukuku: Mume wangu rudi nyumbani turudiane nimetambua kosa langu

    Muonekano wake tu , unaonekana ana kiburi na bado hajakiacha Na pia hekima hana , watu wakijua kuwa wana ukimwi then what.
  10. Hekima ni Mwalimu

    Nataka nianze kumkopesha Wife, Unanishauri Je?

    Kama una uthamini mwisho wako fanya uwekezaji kama una udharau mwisho wako mkopeshe.
  11. Hekima ni Mwalimu

    Eti Kuna wanaume wanalala uchi? Duuuh!

    Sema tuache utani wanao lala uchi hawakosei,pumbu kwa nature yake zina hitaji kupumua .
  12. Hekima ni Mwalimu

    Eti Kuna wanaume wanalala uchi? Duuuh!

    Hivi kuna wenzangu wano penda kulala na taulo au ni mimi tu , Mimi napenda kulala na taulo unalifunga kwa pembeni tu , Huwa nakuwa free sana ,makende yanapumua kwa mbalii
  13. Hekima ni Mwalimu

    HOJA Malipo ya 'Special lumpsum' ya NSSF si ya haki

    Mimi nilikuwa na kama 5million iliongezeka kama laki 2 hivi
Back
Top Bottom