Propaganda hizo na hadi video zinatungiwa, huko Afghanistan alipoenda kulinda amani huyo Marekani na Nato ripoti ilitoka waliongoza kuua raia wasiyo na hatia.
Isemwe Mashariki ya kati ni wahanga wa Marekani na washirika wake kwani kabla hawajatia mguu pale, watu waliishi kwa amani sana
Marekani yeye ndiye anaifadhili serikali iliyopo na Alshabaab ilikuwa ni chama cha siasa kinapinga hilo jambo. Anaingilia siasa za nchi ile na kabla haijaingiliwa Somalia ilikuwa shwari kaabisa na hata Rais wao kipindi Mwalimu Nyerere yupo madarakani aliwahi kuwa mpatanishi kati ya Mwalimu na...
Sijawahi someshwa na anko, hii ingetokea kwa mwanamke mngeshupaza mishipa ya shingo ila mwanamke kumtumia jamaa kusomesha mwanae na bado anamfunza amwite babu ni poa sana kwenu
Hapo unamwacha binti ambaye amekububu bila hata adhabu ya viboko angalau aelewe alichofanya siyo. Anatoka hapo anaenda kugawa kwa mwingine unafunga, akitoka hapo anamfuata mwingine. Utafunga wangapi?
Kuzuia kukatishwa masomo ni kuwaandaa vyema mapema nyumbani na shule waanzishwe mapema hadi wakija miaka 15 wawe wamemaliza kidsto cha nne na si kuwachelewesha waje kuvunja ungo mapema uwawekee kijiti wakaliwe
Hutakiwi kumchunga bali kumuandaa kisaikolojia ajue umri aliyopo, mbona wengi wanvuka na hawatumii hivyo vijiti na hakuna mimba. Njia mbadala ni kuwaanzisha shule mapema, hadi waje kuingia vishawishi angalau wamevuka kidato cha nne, si kuchelewesha na uaape ruhusa ya kufanya ngono kwa kuweka kijiti.
WE NI FALA!
Mwachie jukumu la kuspmesha baba yake, mama yake akigoma mchane ukweli ampeleke shule ya kata.
Huyo mtoto hawezi kukupenda na kamwe haitotokea hivyo sababu ni huyo mama yake anayemfunza hivyo na si kwamba anafanya mwenyewe.
Komaa mwambie unataka mtoto wapo wewe na yeye, ndiyo...
Mzazi na akili zako timamu unamchoma binti mdogo sindano au unamuweka kijiti mwanao, ukiwa na lengo la kuzuia mimba.
Hivi hii na kumruhusu kufanya ngono atakavyo kuna tofauti gani? Ameshajua anachomwa sindano au anawekwa kijiti asipate mimba. Maana yake anao uhuru wa kufanya ngono atakavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.