Hilo povu lote la nini, mimi nimemjibu mleta mada na sihitaji uamini chochote. Unasema dini ni kwa ajili ya mazombi lakini dini ndo imekufundisha kujua kama kuna kulaaniwa na imekufundisha kusema AMEN. Kwa hiyo na wewe ni zombie?
Ningekuuliza una umri gani lakini kwa sababu ujinga hauna umri sitakuuliza.
Scripted scenes zipo na real miracles ipo, labda kwa kuwa umeishi na matapeli sana basi unahisi kila mtu ni tapeli.
Kasome historia ya watu kama A.A Allen, Smithwigglesworth, Kathryn Kulman, William Marion Branham...
#1 & #2 nimeshasikia zaidi ya mara moja kwa nyakati tofauti, in fact mojawapo mpaka youtube video ipo muujiza ukitokea live, ulitokea USA
#5 Muujiza wa chizi kupata akili nimeshasikia mara nyingi, lakini mtindio wa ubongo sijawahi kusikia
#3, #4 sijawahi kusikia
True, hizo mambo wafanye watu wenye hela zisizo za mawazo, MC hapokei simu mtu anakuja kulalamika JF as if ukoo mzima hakuna anayeweza kuongea ongea na kuongoza sherehe
Unadhani hakuna watu walioombewa magonjwa na wakapona kwa muujiza? Hivi juzi tu mamia ya watu nchi ya Pakistani wameponywa magonjwa katika mkutano wa Injili, kwa akili yako unadhani muislamu raia wa Pakistani anaweza kutunga uongo kuwa ameponywa ugonjwa na Yesu
Suala la uponyaji wa kimiujiza...
Uelewa wangu kuhusu Mungu na shetani ninaupata kwenye Biblia, siwezi kusema Mungu alikuwa anatafuta suluhisho, wala kwamba alitusukumia sisi wala kwamba alishindwa kupambana kama ulivyotaja. Unaweza kusema hayo kwa mtazamo nje ya Biblia. Kwa hiyo kila mtu yuko huru kutafsiri anachokisoma...
Mungu anashughulika na mtu mmoja mmoja na wakati huo huo anashughulika na taifa na wakati huo huo anashughulika na dunia. Yako mapenzi ya Mungu kwa mtu binafsi pia yapo mapenzi ya Mungu kwa taifa na yapo mapenzi ya Mungu kwa dunia n.k.
Mapenzi ya Mungu yamegawanyika sehemu mbili, 1) mapenzi ya...
Mimi sio mtaalamu kwenye kuchambua sana mambo ya siasa lakini kwa sababu umegusia Biblia nina neno la kuweka. Yako mambo kadhaa kuhusiana na dhana ya Mungu kutojali sana watu wake namna wanadamu wengi wanavyotegemea;
1) Uendeshaji/Utawala wa mambo ya dunia Mungu alimwachia mwanadamu ingawaje...
Hili la kanisa katoliki kwamba wanajua Biblia kuliko madhehebu mengine sina uhakika, japo sio hoja. Hoja ni kama wanafundisha na kufuata inavyopaswa kilichoandikwa ndani ya Biblia.
Hakuna mahali Yesu amefundisha mitume wake wawaache wake zao kwa ajili ya kumtumikia Mungu, utume wao ni kazi kama...
Kama umesoma vizuri hajakataa kusema yeye sio mwema, ila kamuuliza kwa nini unaniita mwema? Kama alijiona yeye sio mwema asingejisema kuwa yeye ni mchungaji mwema.
Yohana 10:11
[11]Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.
Kwa hiyo Mathayo, myahudi aliyeishi wakati wa Yesu akiwa duniani, akawa mwanafunzi wake, aliyeaminiwa na Yesu kuwa mmoja wa mitume wake akatunga uongo kuhusu Yesu ili aje kuuawa kwa uongo huo?
Lakini mwarabu aliyeishi miaka 600 baada ya Yesu, aliyezaliwa uarabuni, eneo lililotawaliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.