Recent content by Hapinec

  1. H

    Bado sijafanikiwa kumpata mwenza sahihi

    Yeah alinipa kibali, tulikaa kwa mahusiano kuanzia 2022, nikisema mahusiano, namaanisha yaliyonyooka na yenye furaha . Akaja kunichumbia kwetu kwa tafrija kabisa, akanilipia mahari na kunivesha peta 2025, na tukafunga ndoa RC, now tuna mtoto, tunalea. Familia yenye upendo kama wote 😄😄😄😄.
  2. H

    Bado sijafanikiwa kumpata mwenza sahihi

    Dua zako ni za kheri.
  3. H

    Simulizi: Nyuma ya mlango wa adui

    Nzuri
  4. H

    Ila kutapeliwa kunauma wakuu

    Pole sana. Niliwahi kutapeliwa Sina hamu. Hadi leo kwenye masuala ya pesa, sijui utumie njia gani kunitapeli.
  5. H

    Nimekopa nadaiwa zaidi ya Tsh. Milioni 30, maisha magumu na mshahara hautoshi. Nafikiria kuacha kazi

    Pole sana, ulichokosea ni kuzidi kulimbikiza mamilioni ya mademk huku ukiwa bado una mamilioni ya madeni unadaiwa na ukitazama kamshahara kenyewe kadogo. Pesa ya mkopo haipelekwi kuanzishiwa bihashara mpya Bali inaongezewa kwenye bihashara iliyokuwepo imekwishasimama. Huna uzoefu na bihashara...
  6. H

    Mke wangu anamtesa sana mtoto wa marehemu dada yangu

    Akirudi kutoka boarding ndo atajua atumie mbinu gani ili kumsaidia huyo mtoto aishi kwa amani hapo nyumbani. Ila kwa sasa atumie hiyo njia ya haraka ili kumuokoa huyo mtoto asizidi kuumia na kuharibika kisaikolojia zaidi
  7. H

    Mke wangu anamtesa sana mtoto wa marehemu dada yangu

    Aisee pole sana, huyo mkeo ni utafikiri hajaingia leba?. Cha kufanya mpeleke huyo mtoto shule ya boarding awe anarudi likizo tu, na then mwambie atoe ndugu zake ajue pa kuwapeleka pia, iwe pasu kwa pasu. Mke usimuache , utaacha wanapi?, Mana Kila binadamu ana mapungufu yake, unaweza kutana na...
  8. H

    Kutuma nauli siyo tiketi ya kufanya siku hiyo hiyo

    Ulichofanya siyo sawa, kama ulikuwa humtaki basi hizo pesa zake za vocha usingekuwa unazitumia, ungemrudisha mwenyewe hata kama alikupa kwa hiari yake ujaomba. Lakini kitendo cha kufika mpaka lodge sidhani kama mlipanga kumeet na kupiga story tu dear. Na kama ulitaka story tu bila sex, basi...
  9. H

    Natafuta mpenzi kuja kuwa mume baadaye

    Mwanaume nnayemuhitaji awe na sifa hizi; ~ Miaka 28 mpaka 35 ~ Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa ~ Awe mkristo, RC itapendeza zaidi ~ Mkoa wowote, akiwa DSM itapendeza zaidi ~ Mrefu wa kawaida ~ Asiwe na mtoto ~Awe serious na si mume wa...
  10. H

    Natafuta mke

    Wewe mbona hujaelezea wasifu wako vizuri. Jielezee na wewe ili tuufahamu.
Back
Top Bottom