Recent content by HannibaL

  1. HannibaL

    Demu (no offense) wa mshikaji

    Duh!!! Hiyo noma babu
  2. HannibaL

    Nafasi za kazi Agosti 2008

    Kazi zinapatikana lakini jamani??????
  3. HannibaL

    Rick Ross Was A Prison Guard, Records Released

    Chech that out the "Boss" doing the security gig on the segwag.
  4. HannibaL

    Keenja na Binti yake Eliaisa

    Kaka Mswahilina, Sina ukabila wowote katika hilo suala,ila siwezi kuuunga mkono ujambazi na tamaaa zisizo na msingi. Mara kwa mara nimekuwa nikisoma habari na kuona hawa jamaa zetu(wajomba zangu) wakiwa wanatuhumiwa na kesi nyingi tu za wizi na uporaji. Je ni Ukabila kwa mimi kuuliza kulikoni...
  5. HannibaL

    Eti ni kweli wabongo tunanuka midomo?

    Kunuka midomo si suala wa WaTanzania tu,kila mtu anaweza akanuka mdomo. Mara nyingi huu unaweza ukawa ni ugonjwa au kutojali usafi wa kinywa. Kusema ya kuwa Watanzania tunanuka midomo,mimi hilo suala nalipinga. Nilipokuwa nyumbani,mara nyingi kawaida watanzania tumezoea kupiga mswaki mara...
  6. HannibaL

    Keenja na Binti yake Eliaisa

    Hawa jamaa zetu wa kule mkoa wa Kilimanjaro mbona wanakuwa na tamaa sana na wizi wa kijinga. Na kama mtu anatuhumiwa kwa kosa kama hilo kwa nini awe nje ya nchi????? Kama hakimu aliweza kumhukumu TID mwaka mmoja jela kwa kupigana, kwa nini hawa MAJAMBAZI wasiswekwe jela kwa wizi wa Tshs 333...
  7. HannibaL

    "Hey" as a form of greeting

    Kumwambia mtu "Hey" its just rude period. Ila kuna watu hiyo imewakaa sana kinywani.....mara nyingi huwa siitiki hata kama unaniangalia ukiniita na "Hey".
  8. HannibaL

    Nafuta Kazi hapahapa Arusha account department

    Just curious!!! Unapataje CPA Tanzania???? what are the criterias???? Najua hapa U.S ni lazima uwe na Ba au Ma ndio unaruhusiwa kufanya mitihani ya CPA. Kazi zake zinalipa vizuri sana....na ningekushauri kama ungeweza kuangalia na UN au makampuni ya nje.....au pia hata kufungua accounting...
  9. HannibaL

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Daaaaang it... Pole sana faza. Hili suala ni gumu sana..na ni wewe pekee mwenye kuweza kulitatua. Ila kwa upeo nilionao kuhusu haya masuala......kuna msemo unaosema "Once a cheater,always a cheater". Itakuwa ngumu sana kuweza kumuamini tena,na kama hamna Imani au hutaweza kumuamini....kwa nini...
  10. HannibaL

    Rick Ross Was A Prison Guard, Records Released

    His time is up.....dunno how he can top this!!!! Jamaa juzi tu alikataa kuwa bwana jela(mnyampara) haah haah LMAOF. I knew that ish was not photo o/b....what a shame. Nyani Ngabu, I saw that clip of Lollipop boy(wayne) was fun as hell...LOL. Them Crips bwoys wasn't playin' yo. Wayne stay...
  11. HannibaL

    Canoe man and wife jailed for six years

    Interesting news!!!
  12. HannibaL

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Haya mambo ndugu zangu tunachukulia mzaha. Na mzaha na hewala ndio zimeifikisha Tanzania na sisi wananchi hapa tulipo sasa. Miaka ya nyuma(Nyerere) sikuwahi kufikiria kama kuna siku Kikwete na Lowasa watakuwa viongozi wa juu serikalini......lakini sikuwa sahihi,kwa kuwa hewala na mzaha ulikuwa...
  13. HannibaL

    The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Waheshimiwa Board Members, Nafikiri muda umefika wa kuacha blah blah na kufanya vitendo. Mambo kama haya tumeyafungia macho kwa muda mrefu sana na kuwafanya hao wafisadi kuota "Meno" na kuamini ya kuwa wako juu ya sheria na katiba ya nchi. Kuna kitu kinaitwa "PETITION" najua wengi wetu...
  14. HannibaL

    East African Federation (EAF) public Views

    Mr Moshi, I can careless about East African Tourism market, since Kenyans claim and advertise Mt.Kilimanjaro is in Kenya.Honest speaking Kenyans and Ugandans are selfish and self centered people. I live in the States, working in Energy field(Exxon Mobil) if you are familiar with that.Through...
Back
Top Bottom